Jcb na chindoman
wamefanya nn?
Jcb na chindoman
Jamaa alitoa hit single nyingine inaitwa "Wewe Ni Wangu"-Father G.
Kuna wasanii wa Bongo Fleva waliofanikiwa kuhit sana na kujitambulisha vyema but wakashindwa kumaintain either kwa kutoa nyimbo zenye ubora unaoendana na uliowatambulisha or wakaingia mitini kabisa hawakusikika tena na nyimbo nyingine, kwa lugha nyingine tunaweza sema 'waliotea'. Hawa ni baadhi;
1. ZAY B-----> Baada ya kusumbua sana na ngoma yake ya GADO (Original na Remix) akapotea mazima, kuna kipindi hivi karibuni alikuwa anajaribu kurudi but wimbo wake ulifeli kama zilivyofeli nyingine alizoachia baada ya GADO.
2. PIG BLACK-----> Mchizi alisumbua sana mwanzoni mwa miaka ya 2000 na ngoma yake ya 'NINI MNATAKA MAZEE' wenye moja kati ya beat bora kabisa za Majani, alitoa ngoma nyingine kama 'Nisikilize' aliomshirikisha Blue na nyingine kadhaa but hazikufanikiwa kukaribia kiwango cha wimbo uliomtambulisha.
3. K-SAL-----> Alitoa wimbo unaitwa 'MWANA MKIWA' akimshirikisha Feruzi kwenye chorus, ulikuwa mkali na ulihit lakini baada yapo sijui alipotelea wapi.
4. RAH P----> Alikuja kwa fujo na wimbo wake 'HAYAKUHUSU' yenye video kali kwa kipindi hicho, baada ya hapo sijui nini kilimpata.
5. RADO-----> Huyu mshkaji alikuja kwa mbwembwe za bifu na Fid Q, aliachia ngoma kali sana ya Hiphop 'USIULIZE' ilisumbua si kidogo. Then akaachia ngoma ya pili 'WEWE', haikufanikiwa kubamba, akapotea mazima.
6. H-MBIZO-----> Alibamba na ngoma yake ya 'MCHUMBA(NILONGE NISILONGE)' then hakusikika tena.
7. J.I (MTOTO WA NZEGA)------> Jamaa alisumbua sana na ngoma yake ya 'KIDATO KIMOJA' ambapo ilikuwa inabamba both kwenye Redio na Tv, baada ya hapo sijui nini kilimkuta.
8. TOP C------> Alikuja na ngoma iliyohit sana 'SABABU YA ULOFA', ikahisiwa jamaa atakava vzuri nafasi ya Diamond aliyoiacha Sharobaro rec baada ya kujitoa na hivyo kuendelea kuisimamisha vizuri lakini waapi, naye akarudi alipotoka.
9. ADILI (CHAPAKAZI)-----> Huyu jamaa kaanza game kitambo ila wimbo wake wa 'PEKE YANGU' ndo ulifanikiwa kumtambulisha vyema, na baada ya hapo hakufanikiwa tena kuachia ngoma level hizo.
10. IMAMU ABBAS-----> Baada ya kutoka na bonge la ngoma linaitwa 'BILA SANAA' akatoweka kwenye game. Sijui aliotea
#Hawa ndo niliowakumbuka, unaweza ongezea niliowasahau
mkuu hyo ngoma ya father g we ni wangu naitqfutaaa sana , nimeshagoogle wee mpaka basi naomba msaada wa kuipata
Sema we sema wewe x2 usiposema leo jiulize ni lini utasema...by shekh & Adhili

Aisee kuna jamaa aliimba sina pamba za kupandia jukwaani, sijui ni nani na wimbo siukumbuki vizuri.
Usikilize hapa Ras Six-sina pambando huyo huyo.chorus yake ilikuwa hivi: masela wangu eenhee nawaeleza ukweli toka moyoni mimi sina pamba zakupandia jukwaani nifanye nini au niache fani [kibwagizo:haiwezekani] x2