Hawa ni wasanii waliohit na ngoma moja na kupotea

kuna dogo aliimba wimbo unaitwa shuka

mashabiki bwana..shuka shuka,hata kabla sijapanda ...shuka shuka...yaan kabla sijachana....shuka shuka...ahh sishuki nadhani alitolewa kwenye fiesta ilikuwa ni iyo ngoma tu..afu akapotea .

Anaitwa HONGERA mkuu
 
1. DOP squad ft dark master--- miondoko huru
2. FDC ft LWP--- kindumbwendumbwe
3. Computer --- mwezi wa misukosuko(jamaa anawakilisha BDP)
4. Imani---Farida

Dah, we jamaa nimekukubali sana aisee, Umenikumbusha Ommy G na style yake kama ya DMX. Hizi pini tatu za juu nilikua nazipenda sana. E-Money kama nimeiona juzi video yake mpya.

Otherwise nitupie basi hizi vitu nizipakue kama unazo Mkuu wangu!
 
daaaaaaa! asanteni kwa kunikumbusha enzi hizo. redio free na mini, mimi na redio freee



ray lee rah p alipata majanga gani tena? nlimzimia sana enzi zile duh


1. funguo ulio potea(mwimbaji simkumbuki

2. story tatu tofauti(mwimbaji simkumbuki

3. kuna jamaa alikua akiimba anatia kionjo cha HUUU AAAA katikati ya verse zake. Amaaa kweli ukisikiliza hizi nyimbo za chekecha chekecha za kina alikiba huwezi jia bgleva imetokea wapi.
1- Elly Longomba
2- Jay Mo
3- D Knob
 
Last edited by a moderator:
Dah, we jamaa nimekukubali sana aisee, Umenikumbusha Ommy G na style yake kama ya DMX. Hizi pini tatu za juu nilikua nazipenda sana. E-Money kama nimeiona juzi video yake mpya.

Otherwise nitupie basi hizi vitu nizipakue kama unazo Mkuu wangu!

Hahahah, sina hata moja mkuu, hapo nlikuwa navuta kumbukumbu tu kipindi hicho...
 
ndo huyo huyo.chorus yake ilikuwa hivi: masela wangu eenhee nawaeleza ukweli toka moyoni mimi sina pamba zakupandia jukwaani nifanye nini au niache fani [kibwagizo:haiwezekani] x2
Hapo zamani nilipoanza kuimba,
Niliamini MC jukwaani pamba,
Kwani kila niliemuona akiimba,
Alikua Bling bling kapiga Pamba,

Utawasikia "Nicheki"
Utawasikia" Zote za Blue"
 
Kuna mwana dada aliimba wimbo miaka ya 2003 una lyrics hiz, 'Yeyote ndani ya nyumba amemuona wangu mpenzi, nauliza tena yuko wapi wangu mpenzi, nakusihi pokea salamu la aziz kama unanisikia, tukutane ndaniya dance floor' Sijui alikuwa ni nani huyu dada. Since then nautafuta sana wimbo wake...
 
raha p alienda marekani kusoma..ikafika kipindi akashindwa kujilipia ada..akakutana na mshikaji mmoja wakafall in luv na mshkaji akaahidi kumsomesha..kumbe jamaa alikuwa mzinguaji..hakuna shule wala nn..jamaa akamjaza mimba zen baada ya muda mshikaji akaja kufungwa miaka 25 coz alikuwa anajihusisha na madawa ya kulevwa

daah sas hapo raha p kanusurika kwel kwa unga? isije ikawa kama ray c alivyofundshwa unga na lord eyes!
 
kwa rado wa viraka na p one b wa kiwaside hawa watu ni among the best mc's walowahi tokea kwenye gem ya hiphop,,unaonekana si mfuatiliaji mzuri wa hiphop.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom