Hawa ni wasanii waliohit na ngoma moja na kupotea

Hamna mtu anayeniumaga kama rah p nampenda sana aisee
 
Shark huo wimbo wa q chillah sex binamu wangu alikuwa amenunua tape album yake nlikuwa naupenda sana ili nimfulie au kumsafishia room yake ilikuwa ananidanganya ananiwekea huo wimbo hadi leo mashairi yake siusahau jamaa aliutendea haki sana ule wimbo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom