Hawa ni wasanii waliohit na ngoma moja na kupotea

Kuna jamaa wa Mwanza walikuja na BOSS NIPE MSHAHARA WANGU pamoja na ingine ya MWANZA ZIREKEBISHWE BARABARA, hawa jamaa sijawasikia tena!

Mkuu awa walijiita BWV, mmoja alishafariki kitambo mwingine mtangazaji redio moja hapa mjin inaitwa passion fm, anaitwa filbert kabago
 
angekuwa sio msanii basi asingeimba, kama aliweza kutoa ngoma ya 'Ndani ya Club' ika hit basi ameshaingia kwenye orodha ya wasanii.

Pia ukumbuke jamaa alishashirikishwa kwenye ngoma kama ya am so famous ya J-mo na Haya yote maisha ya Madee so flustration ya kajala na sanaa inaingiaje hapo? Muelewe mtoa mada usikurupuke

Mbona majan anazo hit nyngi kuna horse, kamshrkisha imam abbas na j mo
 
My homeboys Fly but Ghetto (FBG) waliwakilisha na 'Chizika', rmx wakafanya na G Nako pamoja na Fetty. Hawaku-shine zaidi ya hapo tena.

Kuna jamaa alikuwa anajiita Roho 7 nadhani, alifanya 'nakupenda Hip-hop' na 'kawaite polisi, sikuwahi kumskia tena. Alikuwa na style yake peke yake.

Kuna jamaa alikuwa anaigiza uhuni, alikuwa ana-rap styles flani kama Mystical. Simkumbuki jina wala ngoma aliyofanya.
 
Roho 7 aliacha muziki sababu ya nature ya kazi yake kutoruhusu, naskia ni Komando yule saa hizi...
 
My homeboys Fly but Ghetto (FBG) waliwakilisha na 'Chizika', rmx wakafanya na G Nako pamoja na Fetty. Hawaku-shine zaidi ya hapo tena.

Kuna jamaa alikuwa anajiita Roho 7 nadhani, alifanya 'nakupenda Hip-hop' na 'kawaite polisi, sikuwahi kumskia tena. Alikuwa na style yake peke yake.

Kuna jamaa alikuwa anaigiza uhuni, alikuwa ana-rap styles flani kama Mystical. Simkumbuki jina wala ngoma aliyofanya.

Ommy G
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom