Hamad Rashid ni mtaji maalum

ndio maana nikasema kuwa mtoa hioja alikuwa na hoja ya kimsingi lakini sasa kaingiza suala zima la udini kitu ambacho mimi nimekiona kuwa hakiendani na mkitadha wenyewe wa hamadi kufukuzwa ndani ya chama. na hata ivo swali la kijiuliza ni kwamba waliomfukuza Huyu RASHIDI ni wana CUF wenyewe na tena ni waislam sasa dhana ya udini imetoka wap[i aktika hii?

labda mh mtoa hoja ajalibu tu kuelewa tu HAMADI ni nani ndani ya nchi yetu ya tanzania ilipaswa aelewe tu kwamba Hamadi amekuwa kama moja wapo ya mhasisi wa chaa hiki cha CUF na vile amewai kuwa kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni, na hata ivo ikumbkwe kuwa suala la leo hii seif kuwa makamu wa kwanza wa raisi uapande wa zanzaibar akian hamadi walishiriki vya kutosha. Na kam ani suala la akian werema kuingilia kati hiyo sio hoja kwani akina werema nao ni watanzania na wana hakim ya kuzungumza katika hilo na hat ivo hoja ya akia werema haikuwa ya udini hata kidogo

jamani tisipende kukimblia amsuala ya udini hata pasipo na udini suala la kimsingi hapa tuangalie hoja ya kimsing ya hamadi kufukuzwa kama ni aya kimsingi na sio udini

Sisi ni binadamu,viumbe wenye akili na nadhari tofauti na wanyama.Tuna uwezo wa kujua vitu vilivyoko anga za mbali tusikoweza kufika kwa kuangalia spectrum tu ya mwangaza unaotufikia ardhini.Hivyo Tendwa na Werema bila kusema wao wenyewe wanatetea udini kiasi kwamba wanajichanganya na ukweli wa siasa zilivyo Tanzania.Itakuwa wameona maslahi maalum kwa udini wao kupitia kuvurugika CUF.Haiwezekani mambo haya ya kufukuzana na ugomvi katika vyama hata CCM yao yapo kila siku lakini wameonesha hamu zaidi kumtetea Hamad Rashid.
 
Pasi na shaka yoyote Hamad Rashid aliandaliwa na Bara kuja kuimaliza Zanzibar na ndio maana anatetewa saaaaaana na watu wa huko.

Hongera sana CUF kuliona hilo na kumfukuza mapema kabla hajawachanganya na kuleta mpasuko mkubwa miongoni mwenu.

Mwacheni tu akeshe na kushinda ukumbi wa habari maelezo Dar es salaam na sio jimboni kwake Wawi.

Back
Top Bottom