Hamad Rashid ni mtaji maalum

Alwaz

JF-Expert Member
Apr 29, 2010
6,822
10,349
Uasi wa Hamad Rashid ndani ya CUF umepata uungwaji mkono usio wa kawaida katika vyombo vya habari Tanzania kama kwamba tukio kama hilo halijapata kutokea kwa vyama vyengine au ni mara ya mwanzo katika CUF.

Zaidi ya uungwaji mkono huo, sasa msajili wa vyama bwana Tendwa na Jaji Werema nao wameingilia kati kuonesha kutoridhishwa kwao na uamuzi madhubuti uliochukuliwa na uongozi wa CUF. Haipendezi kwa wanasheria hao kushikilia habari za mahakama ilhali viongozi wa CUF wameshasema hawakupokea amri ya mahakama.

Ukweli ambao wanasiasa na wanaJF hawapendi kuusema ni kuwa Hamad ni mtaji maalum wa kukivuruga CUF. Na kwanini iwe CUF? Ni mkakati wa kuimeza Zanzibar.Kwa upande mwengine CUF si chama cha kiislamu lakini kwa vile kimeasisiwa Zanzibar waislamu ni wengi na hii imekuwa nongwa. Katika mtazamo uliompana huu ni mwendelezo wa kuzima ushiriki wa waislamu katika siasa na hii ni vita ya kimataifa dhidi ya uislamu.
 
Uasi wa Hamad Rashid ndani ya CUF umepata uungwaji mkono usio wa kawaida katika vyombo vya habari Tanzania kama kwamba tukio kama hilo halijapata kutokea kwa vyama vyengine au ni mara ya mwanzo katika CUF.

Zaidi ya uungwaji mkono huo, sasa msajili wa vyama bwana Tendwa na Jaji Werema nao wameingilia kati kuonesha kutoridhishwa kwao na uamuzi madhubuti uliochukuliwa na uongozi wa CUF.Haipendezi kwa wanasheria hao kushikilia habari za mahakama ilhali viongozi wa CUF wameshasema hawakupokea amri ya mahakama.

Ukweli ambao wanasiasa na wanaJF hawapendi kuusema ni kuwa Hamad ni mtaji maalum wa kukivuruga CUF.Na kwanini iwe CUF?;ni mkakati wa kuimeza Zanzibar.

Kwa upande mwengine CUF si chama cha kiislamu lakini kwa vile kimeasisiwa Zanzibar waislamu ni wengi na hii imekuwa nongwa.Katika mtazamo uliompana huu ni mwendelezo wa kuzima ushiriki wa waislamu katika siasa na hii ni vita ya kimataifa dhidi ya uislamu.

HAmad Rashid ana uchu wa madaraka.
 
Uasi wa Hamad Rashid ndani ya CUF umepata uungwaji mkono usio wa kawaida katika vyombo vya habari Tanzania kama kwamba tukio kama hilo halijapata kutokea kwa vyama vyengine au ni mara ya mwanzo katika CUF.

Zaidi ya uungwaji mkono huo, sasa msajili wa vyama bwana Tendwa na Jaji Werema nao wameingilia kati kuonesha kutoridhishwa kwao na uamuzi madhubuti uliochukuliwa na uongozi wa CUF. Haipendezi kwa wanasheria hao kushikilia habari za mahakama ilhali viongozi wa CUF wameshasema hawakupokea amri ya mahakama.

Ukweli ambao wanasiasa na wanaJF hawapendi kuusema ni kuwa Hamad ni mtaji maalum wa kukivuruga CUF.Na kwanini iwe CUF?;ni mkakati wa kuimeza Zanzibar.Kwa upande mwengine CUF si chama cha kiislamu lakini kwa vile kimeasisiwa Zanzibar waislamu ni wengi na hii imekuwa nongwa. Katika mtazamo uliompana huu ni mwendelezo wa kuzima ushiriki wa waislamu katika siasa na hii ni vita ya kimataifa dhidi ya uislamu.

Sasa Mheshimiwa tushike lipi tuache lipi mara Hamadi Rashidi, mara Zanzibar mara Uislamu!!!!!!!!!!!Hivi kwani CUF ni chama cha Waislamu Wanzanzibari??
 
Ni kazi nzito kujua na kuweza kusema kwa uhakika Kati ya Seif Sharif Hamad na Hamad Rashid nani anaongoza kwa uchu wa madaraka
Unanikumbusha kauli ya mzee wa mtera a.k.a tingatinga aliwahi kuwaambia wananchi wasiwape wapinzani kura maana wana uchu wa madaraka cha kushangaza yeye tangu kijana kang'ang'ania madaraka sasa sijui mwenye uchu hapo ni nani?
 
hivi kumbe maalimseif ni mkristo?
huyu jamaa simwelewi,au kikwete ndiye anayepiga vita uislamu?cuf ilikubali ndoa na ccm mwenyekiti wa ccm ni mwislam cuf ni mwislamu.
ccm ndiyo inayouvuruga upinzani,sasa tuambie anayeupiga vita uislamu ni nani?
 
Ni kwanini kila ishu ambaye mwuislamu yupo ndani inaonekana ni unyanyasaji against waislamu?mbona NCCR nayo ilifanya hivyo hamjasema? Acheni fikira potofu wakina seif na pro lipumba ni wakristo? Tufikirie kwa mapana jamana.
 
Ukweli ambao wanasiasa na wanaJF hawapendi kuusema ni kuwa Hamad ni mtaji maalum wa kukivuruga CUF.Na kwanini iwe CUF?;ni mkakati wa kuimeza Zanzibar.Kwa upande mwengine CUF si chama cha kiislamu lakini kwa vile kimeasisiwa Zanzibar waislamu ni wengi na hii imekuwa nongwa.Katika mtazamo uliompana huu ni mwendelezo wa kuzima ushiriki wa waislamu katika siasa na hii ni vita ya kimataifa dhidi ya uislamu.

kila kitu udini kila kitu mpaka mchomekee udini..
hivi seif ni budha? wajumbe waliomuondoa ni mapentekoste?
ukweli kilichomponza ni uchu na tamaa ya madaraka ambao upo huko cuf!!!!
si hamad peke yake hata wajumbe waliopo humo cuf wana uchu wa madaraka.
 
duh, wewe nama: dini, hamadi rashidi, cuf, wanasheria, vita vya dini duniani nk. hizi ni topic kama nne hivi yaani 4 in 1. tunashindwa tuchangie topic ipi?i
 
hoja ilikuwa na mashiko ila mwishowe ulipoingiza mambo ya dini ndio umeharibu topic nzima.heri ya mwaka mpaya 2012

yaani kila kitu kina mashiko ila dini ndio haina mashiko?, haijadiliki? Kutajwa kwake ni dhambi? Kwanini ikitajwa dini kuna watu wako mstari wa mbele kabisa kuzuia isitajwe! Hivi huyu mdini ni nani? Na hiyo dini yenyewe ni ipi? Mbona habari za ngono, mipasho, madanguro, ufuska ni ruksa kujadili lakini ikija suala la dini linakuwa nyeti! Kuna usiri gani hapa?
 
Uasi wa Hamad Rashid ndani ya CUF umepata uungwaji mkono usio wa kawaida katika vyombo vya habari Tanzania kama kwamba tukio kama hilo halijapata kutokea kwa vyama vyengine au ni mara ya mwanzo katika CUF.

Zaidi ya uungwaji mkono huo, sasa msajili wa vyama bwana Tendwa na Jaji Werema nao wameingilia kati kuonesha kutoridhishwa kwao na uamuzi madhubuti uliochukuliwa na uongozi wa CUF.Haipendezi kwa wanasheria hao kushikilia habari za mahakama ilhali viongozi wa CUF wameshasema hawakupokea amri ya mahakama.

Ukweli ambao wanasiasa na wanaJF hawapendi kuusema ni kuwa Hamad ni mtaji maalum wa kukivuruga CUF.Na kwanini iwe CUF?;ni mkakati wa kuimeza Zanzibar.Kwa upande mwengine CUF si chama cha kiislamu lakini kwa vile kimeasisiwa Zanzibar waislamu ni wengi na hii imekuwa nongwa.Katika mtazamo uliompana huu ni mwendelezo wa kuzima ushiriki wa waislamu katika siasa na hii ni vita ya kimataifa dhidi ya uislamu.
.
Nijuavyo mm ni kwamba haiwezekani kiongozi mkubwa Kama Hamad rashid akasingizia eti kuna court order while Hamna, na pia jitihada alizoeleza za kufikisha ile order ofisi kuu za chama pale buguruni ikakataliwa kupokea na hata lawyer wake kwenda unguja only for that ina maana kuna jitihada alifanya jambo Hilo la kuzuia liwezekane, sasa kina maalim, just na timu Yao wakaona aaaagh anataka kuwatibulia target zao thn end of a day.....

Wakakiuka amri ya mahakama!! Sasa basi Nijuavyo mm kukiuka amri ya mahakama hukumu yake jela.....Miesian Yako mi3 hadi6 ikielezea na na faini juu......sasa jeeeee!!!? "sawasawa" atatokaaa.
 
Sasa Mheshimiwa tushike lipi tuache lipi mara Hamadi Rashidi, mara Zanzibar mara Uislamu!!!!!!!!!!!Hivi kwani CUF ni chama cha Waislamu Wanzanzibari??
Ukiwa mtu makini unachanganya na kushika yote
 
hivi kumbe maalimseif ni mkristo?
huyu jamaa simwelewi,au kikwete ndiye anayepiga vita uislamu?cuf ilikubali ndoa na ccm mwenyekiti wa ccm ni mwislam cuf ni mwislamu.
ccm ndiyo inayouvuruga upinzani,sasa tuambie anayeupiga vita uislamu ni nani?
We poa tu.Mfumo kristo kwa Tanzania at work.
 
kama ni mtaji aanzishe chama chake awe mtukufu mheshimiwa. Nijuavyo mimi HR ni kirusi zaidi ya shibuda. Ole wenu CDM mkimkodolea macho
 
Ami mbona umechemka mapema hivyo.....Udini si uzi wa kuingia humu hasa kwa jinsi unavyofikilia.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom