hasan124
JF-Expert Member
- Jan 2, 2012
- 716
- 128
Nionavyo mm, bara tunasapoti muungano kuliko wa visiwa.......hawaonyeshi kuujali ukilinganisha na huku, sasa wachache Kama hr wakijitokeza tuuu.....wanakua maadui hukoo kwao, hoja moja kubwa aliyoisema Hamad r. Ni ile ya maalim kutofanya kazi bara, although yy ni katibu mkuu wa taifa, sasa amekua sumu.....na problem nyingine ninayoiona Ni kwa wapmb wakishamuamini mtu baaasi wanaona hauwezi kukosea na wengi wao washaweka imani kwa maalim seif baaaasi!! Hawageuki hao.....