Alipiga shuti lile sio kichwaNi mpira uliopigwa na Saido Ntibazokiza kwenye freekick na Baleke kafunga kwa header
Ndio tumeshindwa unakipi cha kuongeza wewe chawa..?Hivi NI kweli moderators wa JF wameshindwa kurekebisa tatizo la picha kuonekana...???
AahhaaaaSimba imekuja kivingine kabisa ni wakati wa waliowekwa kushine kumpa mwalimu sababu ya wao kupangwa..
Baleke atawatoa roho...Kwenye kombe la kufa kiume baleke aligusa mpira mara 3..hongera zake leo naona karudi kwenye kombe analoliweza
11 x 80% = 8.8Ila wachezaji wa simba wanatumikishwa aisee! Kila mechi asilimia zaidi ya 80 ya wachezaji wanaoanza, unakuta ni wale wale!