FT| NBC | Namungo 1-1 Simba Sc | Majaliwa Stadium | Mei 3, 2023

Saido alikuwa kwenye njia kwenda kufunga bao lakini safu ya ulinzi ya timu ya Namungo ilikaa imara na kufanikiwa kumzuia
 
Hii mechi haina kabisa mzuka kutoka kwa mashabiki wa simba. Sijui ni kwa sababu matokeo tayari yanafahamika!!!
 
Ila wachezaji wa simba wanatumikishwa aisee! Kila mechi asilimia zaidi ya 80 ya wachezaji wanaoanza, unakuta ni wale wale!
Umeona ujisemeshe japo negative...sasa hapo zaiid ya baleke joash na saidoo nani mwingine??
 
Dakika 20'
0-0
Israel Mwenda anafanyia faulo, ni freekick Simba inapata
 
Back
Top Bottom