FT: Kagera Sugar FC 1-1 Simba SC | NBC Premier League | Kaitaba Stadium | 12.05.2024

uran

JF-Expert Member
Nov 11, 2013
8,181
11,585
Screenshot_20240512-143105~2.png

VS
20240512_135611.jpg

Tukutane saa 10 jioni kwa updates zaidi kuelekea Ubingwa 2023/2024.

Nguvumoja#

VIKOSI VYA LEO
Kagera Sugar FC
Screenshot_20240512-154127 (1).png



Simba SC
Screenshot_20240512-152657~2.png


UPDATES....
2'
Simba wanakosa goli la wazi kabisa hapa.
Kupitia kwa Freddy Michael.
Alikuwa ameshamtoka hadi Kipa.
Mpira ukaenda nje.

7'
Game on.
Mashambulizi yanakuwa bado ni yakushtukiza.
Mpaka sasa Simba anafika zaidi lango la Kagera Sugar.

10'
Game on.
Kagera wanapata kona ya kwanza.
Inapigwa inaishia mikononi kwa Lakred kipa wa Simba.

15'
Kagera wanapata kona ya pili, inapigwa kwa haraka sana.
Inapitiliza hadi kuwa goal kick.

Kipa wa Simba anapatiwa matibabu kidogo.
Inaonekana jicho lake limepata impact kidogo.

20'
Game on,
Kagera wanafanya defense ball.
Simba bado wako kwenye umiliki mzuri.

23'
Ladack Chasambiiiiiiiiiiiii....
Goooooooooooal
Simba wanapata goli safi kabisa la kuongoza.
0-1

27'
Wachezaji wanapata dakika 1 yakupoza joto.
Cooling Break.

29'
Steven Duah! anapewa kadi ya njano kwa kumchezea vibaya Freddy
Inakuwa free kick nje kidogo ya 18 ya Kagera Sugar.
Anapiga Sadio Kanute, inakuwa goli kick

36'
Game On
Balua alishafinya mtu hapa, ila alikuwa kwenye eneo la kuotea.
0-1

41'
Kagera wanapata kona, inapigwa wanaokoa Simba wanafanya kaunta attack
Inaonekana kila mchezaji wa Simba anataka kufunga kitu kinachochelewesha mafanikio ya Simba.
0-1

45'
Dakika za nyongeza ni 2.
Game On.

HT
Kagera Sugar FC 0 - 1 Simba SC

===================•

Kipindi cha Pili kimeanza.

46'
Simba wanapata kona, inapigwa haileti impact yoyote kwa Kagera Sugar
0-1

49'
Kagera wanapata kona inapigwa haileti shida kwa Simba.

55'
Simba wanapata free kick nje kidogo ya 18.
Ngoja tuone itakuwaje.
Inapigwa na Edwin Baluaaaaa.
Kipa anapangua hapa.
Amepiga vizuri sana.
Mpira unakuwa wakurusha kuelekea goli la Kagera.

61'
Kagera wanapata kona.
Wanapata goli la kusawazisha hapa Kagera.
1-1

69'
Mpira unaendelea
Simba wanajaribu kufanya mashambulizi

70'
Another Cooling Break.
Bukoba joto kali sana.

73'
Simba wanapata kona, inapigwa haileti shida kwa Kagera Sugar.

74'
Simba wanapata kona nyingine, inababatizwa hapa.
haileti shida kwa Kagera Sugar.

77'
Simba wanafanya Sub hapa.
Babakar Sarr Out
Onana Inn.

83'
Game on
Balua anapiga shuti linaouwa hafifu.
1-1

85'
Kagera wanapata Goli.
Inakuwa Offside.
Clear Offside
Bado ni 1-1

86'
Simba wanafanya Sub.
Omar Jobe Inn
Balua Edwin Out.

89'
Simba wanapata Kona.
Inapigwa haileti madhara kwa Kagera Sugar.

90'
Goooooooooooal
Offside.
Simba wanapata goli ila inakuwa Offside
Sio goli.
1-1.

Dakika za Nyongeza ni 4.
Kagera wanafanya Sub hapa.

90+3'
Game On
1-1

FT
Kagera Sugar FC 1 - 1 Simba.
Screenshot_20240512-181324~2.png
 
Vijana Wa Simba wana hari ya Ushindi.
Wataupata inshallah!!
Kagera wanajua Hilo watatumia hii glory time mliyo nayo kuwapiga haraka Kisha wanatulia wanaanza kuharibu mashambulizi yenu
Hadi jioni mgunda ataombwa aachie team na ye atajibu
"Awali ya yote kwanza......."
 
Vijana Wa Simba wana hari ya Ushindi.
Wataupata inshallah!!
Kagera wanajua Hilo watatumia hii glory time mliyo nayo kuwapiga haraka Kisha wanatulia wanaanza kuharibu mashambulizi yenu
Hadi jioni mgunda ataombwa aachie team na ye atajibu
"Awali ya yote kwanza......."
 
Kagera wanajua Hilo watatumia hii glory time mliyo nayo kuwapiga haraka Kisha wanatulia wanaanza kuharibu mashambulizi yenu
Hadi jioni mgunda ataombwa aachie team na ye atajibu
"Awali ya yote kwanza......."
Sio rahisi mkuu.
 
Back
Top Bottom