FT: Namungo FC 1-3 Yanga SC | NBC Premier League | Majaliwa Stadium | 08.03.2024

kiwatengu

Platinum Member
Apr 6, 2012
17,683
14,868
Match Day

#NBCPremierLeague
️ Namumgo FC Young Africans SC
08.03.2024
Majaliwa Stadium, Lindi.
12:00 Jioni

20240308_134928.jpg
Kikosi Cha Yanga Leo.
20240308_174803.jpg
#Daimambelenyumamwiko#.
View attachment 2928102

=======

Timu ya Yanga imefanikiwa kurejea kwenye usukani wa Ligi Kuu Bara baada ya kuichapa #NamungoFC magoli 3-1 kwenye Uwanja wa Majaliwa Mkoani Lindi, hivyo kufikisha Pointi 46 na kuishusha AzamFC yenye alama 44.

Magoli ya Yanga yamefungwa na Mudathir Yahya (54), Clement Mzize (57), Stephane Azizi Ki (62) wakati lile la Namungo ambayo ina pointi 23, likipatikana kupitia kwa Ibrahim Bacca ambaye alijifunga (69).

Hivyo, Yanga inaongoza Ligi ikiwa na michezo 17, Azam inafuatia ikiwa na michezo 20, Simba ni ya Tatu ikiwa na pointi 36 katika michezo 16.
GIKIrxEXUAATqXG.jpeg
 
Back
Top Bottom