FT: Al Ahly 1-1 Simba SC (Agg, 3-3)| Africa Football League| Simba yaondolewa kwa Goli la Ugenini

Simba is the team which is not going anywhere, subiri Yanga akuonyeshe jinsi ya kumfunga Al Ahly nyumbani kwao sio mnakalia draw draw tu mnatoka kizembe
Mtajijua wenyeweeeeeee hamtutishi kabisaaa....yani kwa sasa hamtutishiiii...sisis ndo Simbaa...
Hata mfikie fainali hamtamfikia mnyama abadanii
 
Yes, hiyo siku itabidi Lomalisa tumpumzishe tuwaweke wazee wa kazi.
Lomalisa is too soft kupambana na Shahat na Hany, hapo bado Tau.
Balaa
Lomalisa atasaidiwa na Mwamnyeto ama Bacca kwenye huu upande wa kushoto, af kwa watakaotaka kupita pale kati atakuwepo "The Tank" Aucho na Mudathir maana huwa wanashuka sana chini kurudi wkt timu haina mpira.
 
Kituo kinachofuata ni wachawi wenzenu aka Mashujaa.
Nasikia muliwaazima mganga wao, kwahiyo lolote linaweza tokea.
 
Back
Top Bottom