princess ariana
JF-Expert Member
- Aug 19, 2016
- 7,572
- 14,422
Kutoka NDOLA mimi shabiki wa POWER DYNAMO nasema karma is real! usidhurumu utadhurumiwa
Nimemuona ana chenga na spidi pia, Huyo uliemtaja na Job watamchangia upande ule wa kulia.Umemuona El Shahat? Nani tutamkabidhi kazi ya kumlinda? Yao?
Tukimbana yule tumemaliza kazi.
Jamaa ana mapafu ya mbwa, dakika 90 anacheza kama ndio mpira unaanza!
Ila kwa raha zetu...mimi nina wacheka nyie sura zimewashuka shuuuuuuu..Mmetolewa bana!
Hongera yakeDogo kaweka GG ilikua na pt 3.4 kaweka laki moja
Hawa jamaa wanaishi kikazoea Sana. Na huyo ahly ataingia mikono yetu tu tuwaoneshe namna ya kumkandaWazee wanaokufa kiume hawa, sare mechi nne kuna kazi kweli hapo mkuu?
Kwa kutolewa?Vilaza fc....si mlisema tutafungwa nyingiiii mmebadili gia angani????
Yani so far so good we show the world who Simba isssss.....
Hiyo timu iliyokutoa kuna mchezaji analipwa milion 250 kwa mwezi.Tutaishia Robo kila mwaka kama akili zenyewe ndio hizi.....
Waweke fedha ila mwisho ni "tumekufa kiume''...Eti tutaishia, unachangia nini katika timu wewe. Wenzako wameweka fedha hawana kimuhemuhe km wewe, wewe ambaye mtaji wako ni kelele tu unajaa povu.
Mwakarobo fc,hujawahi kuvuka Robo kwenye mashindano yoyote ya Kimataifa.NANI ANABISHA KUWA SIMBA NDO BABA LAO UKANDA HUUU????
Mpira ni magoli!Yani Alhy wana ma shoot 20 ila mbili ndo on target lol..kweli mlibanwa mbupu
Nishangilie ila nisikuguse sio?Usikoti tafadhali niache nijitanue huu ukumbi ni mkubwa...koment zangu ziachwe...
Nyie ndo mnaumia hilo halina ubishi..target yenu ilikua tufungwee...nyie ndo wagonjwa..
Mwakarobo fcMwakarobo fc,hujawahi kuvuka Robo kwenye mashindano yoyote ya Kimataifa.
Hajui mpira huyo puto hewaNi goli au sio goli?
NimefurahiiiiKama kawaida yenu
Hujui kitu ila unajifanya unajua.inatisha vp jamaa hawakuwa na time ya kuwafunga, mkajidai mnajua wakawaonesha
KILAZA fc hayo mafanikio ndo yametufanya muachwe nyie huko jangwani mnapumua sisi tuko duniani tunaangaliwa....Mwakarobo fc,hujawahi kuvuka Robo kwenye mashindano yoyote ya Kimataifa.