Vincenzo Jr
JF-Expert Member
- Sep 23, 2020
- 12,168
- 25,482
๐๐๐๐๐๐๐๐๐ฐ
๐ #CAFCL
โฝ๏ธ Al Ahly FC๐Young Africans SC
๐ 01.03.2024
๐ Cairo International
๐ 6PM๐ช๐ฌ 7PM๐น๐ฟ
TimuYaWananchi
DaimaMbeleNyumaMwiko
Karibu katika mechi ya sita na ya mwisho ya makundi ligi ya mabingwa Africa ungana nami katika Uzi huu kwa update za mechi hii
Kila la kheri Yanga SC
Kikosi kinachoanza dhidi ya Al Ahly FC
Mpira umeanza
Dakika ya 5
0-0
Dakika ya 10
0-0
Dakika ya 38
Yanga SC wanapata Kona
Dakika ya 40
0-0
Dakika ya 41
Pacomeeee anakosa goli la wazi
Dakika ya 45 +3
Halftime
Kipindi cha pili kimeanza
Dakika ya 46
El Shahat goal Al ahly wanapata goli hapa
Dakika ya 54
Al ahly 1-0 Yanga SC 0
Dakika ya 63
Al ahly 1-0Yanga Sc
Dakika ya 71
Yanga SC wanafanya mabadiliko anatoka lomalisa anaingia kibabage na anatoka aucho anaingia sureboy
Dakika ya 79
Yanga SC wanakosa nafasi ya wazi
Dakika ya 87
Al ahly 1-0 Yanga SC
Dakika ya 90+6
---
Goli pekee limefungwa na Hussein El Shabat dakika ya 46, hivyo kuiwezesha Al Ahly kufikisha pointi 12 ikifuatiwa na Yanga yenye alama 8, sawa na CR Belouizdad ambayo imemaliza Makundi kwa kuifunga Medeama (4) magoli 3-0.
๐ #CAFCL
โฝ๏ธ Al Ahly FC๐Young Africans SC
๐ 01.03.2024
๐ Cairo International
๐ 6PM๐ช๐ฌ 7PM๐น๐ฟ
TimuYaWananchi
DaimaMbeleNyumaMwiko
Karibu katika mechi ya sita na ya mwisho ya makundi ligi ya mabingwa Africa ungana nami katika Uzi huu kwa update za mechi hii
Kila la kheri Yanga SC
Kikosi kinachoanza dhidi ya Al Ahly FC
Dakika ya 5
0-0
Dakika ya 10
0-0
Dakika ya 38
Yanga SC wanapata Kona
Dakika ya 40
0-0
Dakika ya 41
Pacomeeee anakosa goli la wazi
Dakika ya 45 +3
Halftime
Dakika ya 46
El Shahat goal Al ahly wanapata goli hapa
Dakika ya 54
Al ahly 1-0 Yanga SC 0
Dakika ya 63
Al ahly 1-0Yanga Sc
Dakika ya 71
Yanga SC wanafanya mabadiliko anatoka lomalisa anaingia kibabage na anatoka aucho anaingia sureboy
Dakika ya 79
Yanga SC wanakosa nafasi ya wazi
Dakika ya 87
Al ahly 1-0 Yanga SC
Dakika ya 90+6
---
CAF: Timu ya Yanga imekamilisha Hatua ya Makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwa kupoteza kwa goli 1-0 ikiwa ugenini dhidi ya Al Ahly ya Misri katika mchezo wa Kundi DGoli pekee limefungwa na Hussein El Shabat dakika ya 46, hivyo kuiwezesha Al Ahly kufikisha pointi 12 ikifuatiwa na Yanga yenye alama 8, sawa na CR Belouizdad ambayo imemaliza Makundi kwa kuifunga Medeama (4) magoli 3-0.