hahahhaha hii nilikuwa sijainyaka bado hahahhaHaaaa haaaa tumia jina lako halisi tu, ukiamua kujitambulisha huna haja ya kujitambulisha uongo.
Nilisikia Arusha kuna Binti alijitambulisha kama Maria Roza - Malkia wa Jukwaa la wakubwa lakini wakamshtukia.
Inakuwa kama ile ya Arusha. LD alijitambulisha kama Maria Roza. Haaaa haaaa
Naona Member tu ndio Wamekaribishwa vipi kuhusu Guests pengine nao Wangependa kuhudhuria!
na wale waliokula ban!
Wazo tu Natoa Hoja...
hahahhaha hii nilikuwa sijainyaka bado hahahha
noted mkuu S Mtsimbe! Ila ni ngumu! Tunamsubili pakajimy atupe ilivyokuwa Atown...Dar kuna watu usalama hawalali kutaka kujua baadhi ya Id humu ni kina nani, tusije tukawarahisishia
Hahahaha. . .
MR alikuwepo nae?
Samahani kwa kwenda nje ya mada, hivi wewe Sanctus Mtsimbe ulikuwa Operation Program ya chama kule nanihii?.
Thanks!.Hapana. Ops Okoa!
Thanks!.
Nitawasilisha mchango wangu kwa Max!.Utashiriki vipi Mkuu? Mchango wako?
Baadhi ya Wana JF waliokutana katika Ibada ya Kumwombea Marehemu Mh. Regia Mtema Kanisa katoliki Segerea. Wana JF hawa wanapendekeza kuwa ipangwe siku maalumu hivi karibuni ambayo wana JF na Wadau mbalimbali watakutana British Council na kujadili yale yote aliyosimamia Regia na nini cha kuiga toka kwake na kufanya ikiwa ni njia mojawapo ya JF kumuenzi marehemu Mh. Regia Mtema.
Tunapendekeza kuwa tukutane British Council siku ya Ijumaa Tarehe 27-01-2012 kuanzia saa 11jioni hadi saa 2 Usiku. Vinywaji na light foods vitakuwepo. Pia tutafanya maarifa kuwepo na Skype Conferencing ili waliopo nje ya Nchi watakaopenda kushiriki wafanye hivyo. Kwa kila anayeweza kuchangia kufanikisha Mkutano huu anaombwa awasiliane na Maxence.
Kushiriki kwa Skype: Add the following ID: jamiiforums
Updates:
Waliothibitisha kushiriki ni:
1. Sanctus Mtsimbe
2. Maxence Melo
3. Josephine Mshumbusi
4. The Finest
5. Nyani Ngabu - skype
6. AfroDenzi - Skype
7. Mrembo by Nature - Skype
8. Jason Bourne
9. Pretty - Skype
10. Lizzy
11. Duduwasha - Skype
unaogopa nini?Sidhani kama ni vyema kusema kabisa mnakutana wapi,....wange thibitisha wanao taka kushiriki
then kama wapo dar mkawa notify at lest 4hours kabla.
It's not safe kujulikana JF members wanakutana wapi na lini.
Nami nitashikiriki kwa skype