'Friends of Regia' kukutana DSM Kumuenzi Regia (27 Jan 2012)

sisi ambao tunamjua marehemu hapa jamvini imetuuma sana kwa kweli..
kwa nyie ambao mlikuwa marafiki wa karibu.. I cannot imagine what your going through right now..

you know is nothing much we can do now..
Tukumbuke mazuri yote aliyotuachia.. To be compliantly honest ni mengi sana aliyotuachia..
Special Pole to you NN....

AD utapenda kushiriki vipi Mkutano?
 
Ni wazo jema pia. Wa Mwanza mnaweza kukutana. so far JF Arusha ndo wametia fora kwa kukutana. Thanks PJ.

Wa DSM ukiacha wana MMU bado hatujawahi kukutana.
Arusha waliweza, Dar es Salam tunaweza zaidi tukiamua. Wenzetu wametuonyesha mfano, kwa sasa wana ushirikiano mzuri sana ambao nasi tunatamani kuwa nao.

Mwanzo ukiwa mzuri basi tunakoelekea kutakuwa kuzuri zaidi. Tukipata timu ya watu 20 wenye kudhamiria kweli basi kila kitu kitaenda sawa sawa.

Wa Mwanza nao wanaweza kuwasiliana na kupanga kukutana
 
Intellectual idea. Vipi tutavaa mavazi meusi au ndio zile TSHIRT
Kesho tutavaa T-shirts tulizotengeneza (zipo tayari).

Baada ya mkutano mipango mingine ya kuiendeleza JF na mikakati zaidi inaweza kupangwa, inawezekana tukaja na mawazo bora zaidi ya T-shirts.
 
Nitakutolea Mchango ukipenda. Nitampa Maxe. Ila mimi na wewe hatudaiani. Acha kuchanganya mambo bana. Stay on Topic kabla Mods hawajakupiga Ban ya kudumu . . . haaaaaa haaaaa

Haya basi tufanye yule 'mwenzako' yule ndo namdai lol.

Anyway, count me in for the Skype teleconference.
 
Arusha waliweza, Dar es Salam tunaweza zaidi tukiamua. Wenzetu wametuonyesha mfano, kwa sasa wana ushirikiano mzuri sana ambao nasi tunatamani kuwa nao.

Mwanzo ukiwa mzuri basi tunakoelekea kutakuwa kuzuri zaidi. Tukipata timu ya watu 20 wenye kudhamiria kweli basi kila kitu kitaenda sawa sawa.

Wa Mwanza nao wanaweza kuwasiliana na kupanga kukutana

Maxe: Usiwe na wasiwasi tutaweza tu.
 
Jamani wana jf siyo kila kitu Dar bwana kwanini isiwe Mwanza pale Gold Crest Hotel?

Si vizuri tukaanzisha kulaumiana kipindi hiki cha msiba wa Membar mwenzetu.
Lakini kwa uchache sana tuutumie loop-hole hii kufikisha masononeko yetu kwa sie Jf membars tulio nje ya Dar, kwani Membars wenzetu mliopo Dar mnachukulia Network ya Jf inaishia Dar tu! Hivyo mnaji'organise nyie mliopo hapo tu ? Aidha huu ni msiba unaotuhusu sisi wote as Jf membars.
Vinginevyo mtuweke wazi na sisi tushirikije msiba huu mzito.
 
Mkuu, kama haupo DSM bado unaweza kushiriki kwa njia ya skype.
 
Watakao shiriki kwa Skype: tafadhali add the following contact in Skype: jamiiforums

It is active now!
 
Back
Top Bottom