Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 50,503
- 113,614
Wanabodi,
Kiukweli mimi ni follower mzuri wa Jukwaa la Siasa, halafu majukwaa mengine kutembelea mara moja moja.
Sasa jana, kutokana na Tanesco kutufanyia vitu vyake toka asubuhi, kwa wengine umeme ndio kila kitu, hivyo leo nikazianzia mapema tuu ile saa 10 tayari niko viti virefu, by saa 2:00 usiku nimeisha pindua gari, hivyo kufika saa 8 usiku, usingizi umakata.
Mtu anabaki kuhesabu kenchi na hizi nyumba zetu za mbavu za mbwa za kupanga ambazo hazina siling board, na usiku wa manene ulivyo utulivu, unajikuta unayasikia yanayoendelea chumba cha jirani, kuna sauti na sauti, lakini sauti nyingine kiukweli, usingizi ndio unakata kabisa!, nikajikuta naingia MMU, ndio usingizi ukakata kabisa baada ya kukuta taarifa ya kifo cha member maarufu number 1 wa jf kule MMU na Celebrity Forum.
Zamani JF ilikuwa tukipoteza mwanachama, Jf management ilikuwa inafanya some sort of organisation, nakumbuka msiba wa Regia if tulitengeneza hadi Tshirts na tuka jiorganize hadi kuhudhuria mazishi kule Ifakara, tena kuna member alijitolea, usafiri wa gari yake, akajaza mafuta, akawasomba jf wakatia timu kuhudhuria mazishi, Ifakara. Hebu tazameni hapa chini.
Na kwenye mazishi ya wana jf wa eneo husika wahudhurie kutuwakilisha. Kwenye mchango wa rambirambi hata tukiweka minimum TZS 1,000 tuu, kwa jinsi tulivyo wengi, hiyo fedha ina kuwa ina impact kubwa na ni faraja kwa familia kujua mpendwa wao alikuwa mwanachama wa mtandao wa jf na wana jf wanajali.
Na kwa vile wengi wa wana jf wanatumia pen names, ili kuheshimu the anonymity ya marehemu, humu jf tuu ndio atatajwa kwa jina lake la jf, mfano huyu warumi lakini pale msibani no one will mention his name, hata kwenye Salaam za jf, hatamkwi popote kwa jina, bali "marehemu alikuwa mwanachama wetu, alijinga jf lini, amechangia mada mbalimbali etc just that, na if members watakao hudhuria msiba, kwa vile kule wataliona na kulijua jina halisi, kanuni yetu na "name calling" iwe strictly observed kumuheshimu marehemu kwa kutolitaja jina lake halisi, maadam humu kwetu alikuwa warumi, then he/she will always be warumi.
Hivyo naomba kutoa wito wa swali kwa sisi wana JF, JF Member are equal, sasa member mwenzetu anapokufa, jee tuanze kuonyesha solidarity kwenye msiba kwa kushiriki na kumuenzi member mwenzetu kama tulivyofanya kwenye msiba wa Regia Mtema?, au tuache tuu hali hii iendelee kwasababu kila mtu na bahati yake na hadhi yake na umaarufu wake?
Mkuu Maxence Melo , if there is anything jf can do kuhusu huyu fallen hero, let's do something kuonyesha solidarity yetu.
RIP warumi
Pasco wa JF, anakulilia.
Paskali

Duh, japo mimi sio mwanachama active wa celebrity forum, ila jamaa namkubali sana na nimeguswa!.Kwa masikitiko makubwa ninapenda kuwapa taarifa ya mdau mwenzetu humu anayeitwa warumi amefariki usiku wa kuamkia leo Hospitali ya Taifa ya Muhimbili alipokuwa anapambana kwa ugonjwa wa figo.
Warumi alikuwa kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 29.
Taarifa hii nimepewa na dada yake mda huu, msiba unaelekea kwao Tegeta .
UPDATE:
Msiba upo Tegeta Nyuki, ukifika Stand unachukua boda au bajaj unawaambia wakupeleke nyumbani kwa Kiboko, maana msiba upo opposite na utaona geti jeusi liko wazi - ingia.
Msiba utasafirishwa kwenda Mbeya, Nonde Mabatini.
UPDATE.
Misa ya kumuaga itafanyika kesho tarehe 27 August saa 8 mchana Muhimbili.
Zamani JF ilikuwa tukipoteza mwanachama, Jf management ilikuwa inafanya some sort of organisation, nakumbuka msiba wa Regia if tulitengeneza hadi Tshirts na tuka jiorganize hadi kuhudhuria mazishi kule Ifakara, tena kuna member alijitolea, usafiri wa gari yake, akajaza mafuta, akawasomba jf wakatia timu kuhudhuria mazishi, Ifakara. Hebu tazameni hapa chini.
Hawa walituwakilisha vyema:
I don't know what happened now. Should we push for equal treatment during the demise of our members, tuweke system ya ndugu kuripoti kwa jf management kifo cha mwanachama wetu yoyote regardless umaarufu wake, kisha waweke number ya mchango, wana jf kuchangie, na siku ya kuaga jf management iwepo na kukabidhi mchango kwa wafiwa na mtu wa jf atoe neno.
Vijana wa Mtandao wa Jamii Forum wakiwa wamevalia rasmi waliposhiriki kuuaga mwaili wa aliyekuwa mwanachama wa mtandao huo, marehemu, Regia Mtema.
Naomba niishie hapa, nitaendelea kesho na tutakuwa Live kutoka Ifakara (pamoja na picha)