'Friends of Regia' kukutana DSM Kumuenzi Regia (27 Jan 2012)

Sisi wa skype tuna contribute vipi kwenye huo mkutano in terms of resources?
 
Sisi wa skype tuna contribute vipi kwenye huo mkutano in terms of resources?

Mkuu wadau wameshakubaliana kule Skype. Watatumia text chat. na anayetaka kuongea, atawekwa kwenye PA ili asikike baada ya kupigiwa Voice call. Inabidi aandike kwa tect kuwa anataka kuongea.
 
Mkuu wadau wameshakubaliana kule Skype. Watatumia text chat. na anayetaka kuongea, atawekwa kwenye PA ili asikike baada ya kupigiwa Voice call. Inabidi aandike kwa tect kuwa anataka kuongea.

Hujanipata kaka yangu I meankwa issue ya finances kwa hao organizers?
 
Mkuu hakuna uwezekano wa kuweka wazi gharama za kuchangia ili kufanikisha hilo?Binafsi nitashiriki kwa kuhudhuria british council ila sio mbaya kujua gharama za kuchangia kabla ya kuwasiliana na Maxence.
 
Back
Top Bottom