Sanctus Mtsimbe
R I P
- Jul 14, 2008
- 1,820
- 1,031
- Thread starter
- #81
Sidhani kama ni vyema kusema kabisa mnakutana wapi,....wange thibitisha wanao taka kushiriki
then kama wapo dar mkawa notify at lest 4hours kabla.
It's not safe kujulikana JF members wanakutana wapi na lini.
Mkuu, kwa uzoefu wako wewe, unaweza ukampa mtu notice ya masaa 4 kufika mkutanoni na akafanikiwa kufika kiurahisi? Na wangapi utawapata kwa masaa hayo manne?