Freeman Mbowe Bungeni Leo Live

Anaongelea dhamira ya serikali kuhamia dodoma. Amesema serikali haina nia ya dhati kuhamia dodoma. Mfn w/mkuu kuomba fedha kujenga ofisi ya w mkuu dsm lithuri street badala ya dodoma
 
Amehamia kwenye ishu ya uchaguzi kura 2010, kufutika kwa karatasi za kupigia kura, ucheleweshaji wa matokea kwenye sehemu walioshinda upinzan
 
Nani mwenyekiti wa Bunge na kamsimamisha kwa sasbabu gani?
mwenyekt ni Jenista mhagama mh.mbowe alikuwa anasema neno viafunwa kumbe kwenye hotba halikuwepo ndo mkit akamtel aseme hansard irekodi hvyo vitafunwa vipigwe ful stop
 
Anauliza kabla ya uchaguzi waziri wa uratib na bunge alisema karatasi zitachapishwa nchin lakin mkurugezi wa uchaguzi alisema zitachapishwa nje ya nchi. Anataka kujua kampuni gani ilipewa na kwa nin. Pia amependekeza mfuko wa maafa usaidie majanga mbalimbali kama njaa na mengine na silivyo sasa.
 
Shibuda ameenda kwenye kiti cha lowasa cjui wanajadili nn. Anaongelea mauji ya polisi kwa rai, haki usawa mbele wa sherehe. Haki ya kupata habari, kuandamana. Mauji wa polisi tarime, mbalali, sumbawanga, nyamango, utupaji wa maiti nyamango,
 
Safi sana Mkuu endelea kutujuza huku
 
Anatoa data watu walioua na polisi, askari magereza na askari nyamapori
 
Sasa anazunguwmzia mauji ya raia yanayofanywa na polis anataja kila tukio na tarehe na majina ya waliokufa au kujeruhiwa.
 
Sasa anazunguwmzia mauji ya raia yanayofanywa na polis anataja kila tukio na tarehe na majina ya waliokufa au kujeruhiwa.

|Asanteni sana kwa taarifa maana wengine ndio hivyo giza mtindo mmoja hatujui nini kinaendelea
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom