Freeman Mbowe Bungeni Leo Live

Namuona Zitto hapa jamvini muda huu, hebu mlio kwenye runinga tusaidieni yumo ndani bungeni ama hayupo? Ina maana anaangalia mtandao ndani ya bunge ama amekacha hotuba ya bosi wake??

There are currently 97 users browsing this thread. (41 members and 56 guests)
Ni mambo ya teknology tu mkuu kuna siku nili log in nikaenda viwanja nikasahau komputa kuizima bila ku log off kwa hiyo wote waliokuwa wanafungua kwenye ile thread walifikiri nipo.
 
nashangaa tuna ambiwa anacho tumia badala ya anacho sema,ushabiki ni utumwawa ajabu sana
Kwani umeshasoma nyuzi zote humu, na kwa nini unadhani alichosema hakitasemwa humu, na una maana gani unaposema utumwa, zipo namna nyingi za ku-deliver message, so endelea kusoma, bila shaka kiu yako ya kujua alichosema itakuwa quenched. Usiwe mtumwa wa uvivu wa kusoma Mr Speaker
 
dunia ya sasa ni utandawazi, hata mawaziri walitakiwa wawe na back up ya watumishi pale wanapojibu maswali ili kuepuka kudanganya ummaakuna haja ya kukimbia swali na hali ya mawasiliano hiko juu sana kwa sasa
gamba moj jana T LISSU alilinyuka swali likashwindwa liajifany eti swali ni jipya
 
Usiwe mbishi wewe kwanza unazungumzia ipod wakati issue hapa ni ipad, una maana ukiwa na 150000x2 unapata ipad??????????
Siwezi lumbana na mtu ambaye upeo wake wakufikiri ni mdogo kuliko akili za kuku....
 
Huyo mtoto wa mkulima hata email hana...........sasa atawezaje kutumia ipad?
 
Huyo mtoto wa mkulima hata email hana...........sasa atawezaje kutumia ipad?
Anachojua kukitumia yeye ni taipuleta, si unajua tena ameiba jina la mtoto wa mkulia ilhali yeye ndo KABAILA lenyewe
 
Wacha wawakabe koo .Nadhani CCM wanatamani kuona wapinzani wote wako nje ya Bunge wazidi kulala.
 
Hongereni CDM kwa kutumia latest technology na chaziada hela ya kuzinunulia siyo za kifisadi. Plzeeeez Mbowe na Zitto mfundisheni PM, SPIKA na Mkullo jinsi ya kutumia iPAD
 
Itabidi Chadema wamwazime Pinda wataalam inaonekana Chadema inawataalam kuliko Ofisi ya Pinda?!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom