Freeman Mbowe awatakia Waislam wote Heri ya Sikukuu ya Eid el Fitri

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,815
218,477
Mwenyekiti wa Chadema Mwamba kabisa , Freeman Mbowe , ambaye huko Zanzibar anafahamika kama Ustaadh Aboubakar Mbowe , ametuma salamu za heri ya Eid El Fitri kwa Waislam wote Nchini na kote Duniani .

Hii hapa ndio Taarifa yake

Screenshot_2024-04-09-21-39-02-1.png
Screenshot_2024-04-09-21-38-53-1.png
 
Wale wenyewe upwiruu wa MWez mtukufu kesho n mwendo tu wa !!!!

Malizia Kwenye picha hapo..
FB_IMG_1711867946348.jpg
 
Mwenyekiti wa Chadema Mwamba kabisa , Freeman Mbowe , ambaye huko Zanzibar anafahamika kama Ustaadh Aboubakar Mbowe , ametuma salamu za heri ya Eid El Fitri kwa Waislam wote Nchini na kote Duniani .

Hii hapa ndio Taarifa yake

View attachment 2959027View attachment 2959028
hapo ambapo anasema ati,

"ninawaombea siku hii iwe imejaa, furaha na baraka kwenu na kwa wapendwa wenu" 🤓

nina mashaka huyu muungwana hawezi fanya hayo maombi, that one the man can't do it....

hiyo ya kuwatakia yaliyo mema, it's okay nakubali. ila hiyo ya eti kuwaombea 🤣

🐒
 
Waachie Waislam waamue wenyewe , hiyo ccm inayokupa posho siyo dini
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom