Freeman Mbowe Bungeni Leo Live

Haki ya kuandamana, hasa ya wapinzani. Polisi kuzuia maandamano bila hata taharifa ya kimaandishi, kukamatwa kwa wabunge bila hata kibar cha spika. Unafiki wa polisi kuonea wabunge wa upinzan, huku wabunge wa ccm wakiombewa kibali kama mbunge wa mwanza aliyehusika kupanga mauaji ya mwenyekiti wa ccm mwanza
 
Safi sana wakuuu
 
Analalamika juu ya kupandishwa kwa kodi ya vileo na sigara, anauliza watanzania wafanye starehe gani?
 
Katiba mpya haki ya kuchangia. Maandamano ya wananchi, upotoshaji wa maandamano kupitia kwa watu wa dini, baadhi ya vyama vya upinzan, magazetin, bungen, kwa kisingizio cha aman. Kila chama kijipime kwa wananchi kukubalika kwao na sio kwa kukujeli cdm. Uchaguz wa spika toka kwa kwenye chama, utaratibu ubadilishwe. Amemaliza kusoma tahari.
 
kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani bungeni freeman mbowe amewaonya wabunge wanaokejeli maandamano ya chadema kwa madai kuwa yanalenga kuvuruga amani, badala yake amevitaka vyama hiyo kujipima kukubalika kwake kwa wananchi. Aidha amesema huenda vyama hivyo vinahofu ya kupata waandamanaji.

source: bungeni dodoma
 
Source: Bungeni dodoma

nikweli mkuu, hukuona maandamano ya ccm kule rukwa walikuwa ni watu wasio pungua 100
 
Lekule Leizer .............alifananisha bunge na mkutano wa walevi!!
 
Katiba mpya haki ya kuchangia. Maandamano ya wananchi, upotoshaji wa maandamano kupitia kwa watu wa dini, baadhi ya vyama vya upinzan, magazetin, bungen, kwa kisingizio cha aman. Kila chama kijipime kwa wananchi kukubalika kwao na sio kwa kukujeli cdm. Uchaguz wa spika toka kwa kwenye chama, utaratibu ubadilishwe. Amemaliza kusoma tahari.

Mkuu CPA asante sana kw ataarifa na kutuhabarisha yaliyotokea
Hebu tupe mwitikio wa hao jamaa wengine ukoje baada ya kumaliza kusoma
 
Namuona Zitto hapa jamvini muda huu, hebu mlio kwenye runinga tusaidieni yumo ndani bungeni ama hayupo? Ina maana anaangalia mtandao ndani ya bunge ama amekacha hotuba ya bosi wake??

There are currently 97 users browsing this thread. (41 members and 56 guests)
 
dunia ya sasa ni utandawazi, hata mawaziri walitakiwa wawe na back up ya watumishi pale wanapojibu maswali ili kuepuka kudanganya umma
akuna haja ya kukimbia swali na hali ya mawasiliano hiko juu sana kwa sasa
 
shukrani sana wadau..japo nipo kwenye basi kutokea kigoma hapa nzega bado nimepata updates zote muhimu kutokea bungeni! HONGERA JF FOUNDERS
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom