Freeman Mbowe Bungeni Leo Live

Inaonyesha mbowe hakuongeaa kitu cha maana kabisa,hakuna hata mmoja kwenye thread hii alie eleza kitu cha msingi alicho sema zaidi ya kutumia ipad2 technology. binafsi nimemsikiliza ametumia muda mwingi ku lalama badala ya kutoa strategies n plans endapo chadema wangekua serikali wange fanya nn.
 
Itabidi Chadema wamwazime Pinda wataalam inaonekana Chadema inawataalam kuliko Ofisi ya Pinda?!
Hata humu JF si unaona Mwenyewe,Chadema wana fine brains whereas Magamba ni tia maji tia maji,shake well before use!!!
 
We bwana eh poleni mliokuwa gizani maana mmekosa uhondo. Datata zilizomeagwa za mauaji ya raia na polisi wa Tanzania utadhani tupo Libya!!! Ilikuwa balaa. Kumbe wabunge wa CCM wakikosa inabidi police waombe kibali cha Spika lakini wa upinzani wanakamatwa kama kuku!!! Jamani hivi kweli kumbe Ccm wababe hivyo??? Wameumbuliwa mchana kweupe
 
Thank God yule Mzanzibar sio mkuu wa opposition tena. Haya mambo ya Bara Hamad Rashid angejisumbua nayo haya? Tumepoteza muda mwingi sana wa Taifa kwa upinzani kuongozwa na mtu wa kafu kutoka Zanzibar, issue kibao hazikuibuliwa. Mbowe ahsante.
 
jamani tunaomba sana taarifa kamili maana huku wengine tuko mbali mawaliano ni kwanjia hii sasa mkitupatia habari nusunusu mnatutesa sana hasa sisi tunaotaka changamoto. tafadhari sana tuhabarisheni jamani
 
CCM hawawezi kutumia technolojia kama hiyo kwakuwa tenda za kusupply stationery wanazo mikononi mwao.
 
Mwigulu - Uzinzi Igunga

Ali K. Malima - Morogoro

Rosemary Kirigini - Mke wa Dokta Bugando ila FAST jet anavuruga yote, FAST JET akampa viti maalumu na ukuu wa wilaya Meatu

CCM acheni ujinga, leteeni wananchi maendeleo

Fedha USwisi,

Chengi ya rada

Haya...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom