Freeman Mbowe awatakia Waislam wote Ramadhan Kareem

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,765
218,383
Mwenyekiti wa Chadema , Freeman Mbowe , amejitokeza hadharani kuwatakia Waislam wote Baraka tele za mwezi Mtukufu wa Ramadhan

Ujumbe wake Muruwa huu hapa

Screenshot_2024-03-12-21-16-21-1.png
Screenshot_2024-03-12-21-16-35-1.png
 
Mwambie jasho la mtu haliendi bure na haki ya mtu haipotei lakini pia machozi na kilio cha mnyonge kinamfikia Mungu moja kwa moja .kwa hiyo alipe jasho la wale waandishi wa habari kumi ndio aanze kuandika propaganda zake mitandaoni. Siyo anajifanya ana upendo na watanzania na kuvaa kanzu kwa maigizo halafu nyuma ya pazia amefanya dhuluma kubwa na familia yake kwa watu bila aibu wala haya.
 
We jamaa umechanganyikiwa.....unadhani kila kitu ni siasa tu.
 
Nitajie Mwanasiasa mmoja tu wa CCM asiyewafanyia wananchi maigizo 😄😄🔥
 
We jamaa umechanganyikiwa.....unadhani kila kitu ni siasa tu.
Ndio maana tunataka Mbowe alipe jasho la watu na siyo kuleta siasa kwenye haki na jasho la watu. Mbowe na familia yake walipe jasho la watu.

Machozi ya waandishi wa habari waliomfayia kazi usiku na mchana yatamlilia wakati wote na moyo wake hautakuwa na amani.

Kama amezoea kudhulumu mali za CHADEMA kutokana na kuwachukulia kama manyumbu basi aendelee huko huko lakini haki na jasho la wanyonge hawa alipe.
 
Ndio maana tunataka Mbowe alipe jasho la watu na siyo kuleta siasa kwenye haki na jasho la watu. Mbowe na familia yake walipe jasho la watu.machozi ya waandishi wa habari waliomfayia kazi usiku na mchana yatamlilia wakati wote na moyo wake hautakuwa na amani.kama amezoea kudhulumu mali za CHADEMA kutokana na kuwachukulia kama manyumbu basi aendelee huko huko lakini haki na jasho la wanyonge hawa alipe .
Jikite kwenye mada
 
Jikite kwenye mada
Ndio nimejikita huko kuwa Mbowe na familia yake waache udhulumaji na unyonyaji.hivi kweli Mbowe na familia yake wanashindwa kuwa na huruma kwa watu waliokuwa wanaacha familia zao na kuwahi kufanya kazi kwa Mbowe? Kama anashindwa kuwatendea haki watu kumi tu ni vipi anajinasibu kuwatetea watanzania mamilioni kwa mamilioni? Kama siyo unafiki ni nini? Kama siyo utapeli wa kisiasa na maneno ni nini?

Mwenyekiti mzima anawadhulumu watu waliotoa jasho lao? Mwenyekiti mzima anayesema anapigania haki anashindwa kuguswa na maisha ya watu kumi tu? Huu ni uhuni usiokubalika hata kidogo kwa jamii iliyostaarabika. Hili tu lilikuwa linatosha kumfanya ajiuzulu hata huo uenyekiti wake anaoutumia kukinyonya chama kama kupe. Mbowe na familia yake ni wanafiki sana .asivyo na aibu wala haya anajifanya eti anawatetea Watanzania? Watanzania wapi hao anaowatetea wakati nyuma ya pazia anapora haki zao? Mnafiki mkubwa
 
Uzi wa Ramadhan unaleta kilio cha njaa , huu ni uzi wa dua na baraka
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom