Bado Niponipo
JF-Expert Member
- Aug 15, 2008
- 680
- 168
Mlio karibu na radio na Tv tujuzeni tafadhari
Mkuu bora umenena yaani huku hatuna umeme tunategemea JF lakini cha kushangaza wenzetu wanao pata fursa hiyo ya kutazama hawatujulishinashangaa tuna ambiwa anacho tumia badala ya anacho sema,ushabiki ni utumwawa ajabu sana
Ameongea jambo gani mpaka akamkatisha?Mwenyekiti wa bunge amkatisha mh.Mbowe wakati akimwaga sera kwa speed ya 180
Mwenyekiti wa bunge amkatisha mh.Mbowe wakati akimwaga sera kwa speed ya 180
hawezi alishasemaebana nimekubali hyo technology, hivi mtoto wa mkulima anaweza kutuimia kweli?