Yo Yo
JF-Expert Member
- May 31, 2008
- 11,217
- 1,706
mkuu muda wa kuingia youtube hawana wako utamu wanajibu comments......2. kulikuwa hakuna colour filter hata kidogo in day light alafu usiku wanaweka filter la ajabu eti wameweka filter ya pembeni kuna jiza katikati kuna mwanga yaani kama vile mtu anaota
(Watanzania mmeshinndwa kuingia youtube muangalie jinsi ya kutengeneza filter kwenye movie???)