Filamu za kitanzania: Mazuri na mabaya

Taratibu tutafika, hii sio Film wala cinema Industry , hii ni Home video industry , huwezi linganisha hata kwa small budget movies za hawa jamaa alio Independent.

Kikubwa ni budget tuu, utaalamu utapatikana pale funds zinapo kuwepo, bado matajiri hawako teari kutumbukiza mapesa kwenye biashara isiyo eleweka, hakluna records zozote zinazo oneysha pesa inaingaaje na faida inakuaje.

Bado safari ndefu ila tuta fika kw akuchechemea, kwani si tunaona Miss Tanzania wanavyo boreshwa kila siku na nadhani , hii Home Video Industry baada ya muda itakuja kuwa Film Industry kwani Serikali teari imesha ondoa kodi kwa film camera zitakazo ingizwa nchini.
 
Nawashauri Wacheza Filamu na Waandaji wa Kibongo waangalie Movie ya SLUMDOG MILLIONAIRE...

Usidhani ile movie kwa sababu ime actiwa India ndio ya India, ile ni a British movvie na iko funded vizuri na ina kila proffesonal mle ndani,
Huwezi linganisha kabisa ile na hata hizo Nigerian Video Industry watu wanazo ziona za maana.

TZ kuna movies nzuri nyingi tuu , better acting , better lightning beetr camera angles , sema hizo movies kuziona ni ngumu ni hizo zinakua ziko funded na hizo zijui niite mashikrika ya Ulaya na badhi niliona kwnye TBC nikashanga sana kumbe kitu kizuri tuna weza fanya.

Pia kuna video moja nzuri sana ya Banana Zoro inaitwa Zoba, chunguza ile video Mwanzoni pale kwenye scene ya kanisani, angalia camera shots ,acting kila kitu ni perfect ,

Kuna movie moja nimesahau inaitwaje nilikuta TBC1 ikiwa imesha anza, ina husu Mze katoka kijijini akaja na pesa Mjini, akakutana na vibaka wakamuua na kuiba zile pesa, kumbe yule mzee ni ana mashetani, sasa mmoja baada ya mmoja wakaanza kufa, sikumbuki iliishaje maan niliondoka, sasa ile movie ni imetengenezwa kwakiwango kizuri ingaw a hawajatumai film camera
 
Jamani hao waigizaji wanafanya kazi kulingana na soko la Tz, na ufahamu wa wateja wao! Niwachache mnaoweza ona kasoro, lakini tulio wengi tunazifagilia ile mbaya....

Amen, hapo nimekupata vizuri, hiyo ndio ukwlei wenywe, market ya TZ ndio inakubali hilo, ila sio mbaya kuwa fungua hawa wasio jua ubora wa kazi.
 
Waigizaji wetu:

Walio wengi si wasanii katika uhalisia. Wema Sepetu, Joketi, Irene Uwoya, Lissa Jensen hawa ni ma-miss. Nadhani wangeendelea na ukanda wao. Kushirikishwa si mbaya lakini inaelekea wanaigeuza kuwa kawaida sasa

Ngono:
Bongo msanii hachezi movie (hasa wa kike) bila kutoa rushwa ya ngono. Mabinti wengi wanaonekena kuigiza sababu ya njaa zao na wengine wanaigiza ili kuuza sura wapate mabwana wenye fedha.

Nina mifano michache:
Ray (Vincent Kigosi) anaishi na Johari. Huyuhuyu Ray alishawahi kuwa na mahusiano na Mainda (na huyu Mainda alikuwa anatembea na marehemu Max ambaye aliondoka na ngoma), Dotnata, jimama moja la Ilala na wengine lukuki.

Ray huyu anajifanya hana Baba wakati babake ni mzee Kigosi na anaishi Dodoma. Namshauri akamsalimie babake na amwombe radhi kwa kumkosea heshima. Wewe ni Mgogo na uache kuwadanganya watanzania kuwa wewe ni Mhehe.

Kanumba alikuwa na mahusiano na wafuatao; Wema Sepetu, Lilian Internet (wa Twanga Pepeta) na wengine lukuki.

Nora; huyu alipofariki Ngwizukulu akahamia kwa jamaa ambaye baadae mambo yalienda vibaya kwani alijikuta anapigwa picha za uchi na kupata kichaa cha mapenzi. Kwa sasa amejipoza kwa Tito (Carlos).

Lona; huyu alikuwa anatembea na Kelvin, baadae akahamia kwa Cheni sijui kwa sasa yupo na nani lakini nitamfuatilia.

Maya; huyu kwa sasa anaishi na Swebe.

Colleta huyu ana wezere kubwa nasikia alipigwa mtungo na sasa kapata bwana ambaye kaamua kumsomesha.

Maina; huyu alitembea na Chrisant Mhenga (walifanyia mambo haya machafu pale Tip Top), Cheni, Richie Mtambalike, JB, Tino (Hisani), akaolewa na sasa katemwa kutokana na tabia yake chafu.

Dida wa Michopsi, huyu kwa sasa yupo Times FM kama mtangazaji wa mipasho. Huyu ameingilia ndoa ya watu na ni mke wa tatu kwa jamaa. Aliingia kwenye maigizo kwa lengo la kupata bwana tu ili mradi apate fweza.

Cathy (alikuwa Mambo Hayo), huyu kaacha mme wake kaamua kuanza kutembea nje ya ndoa na Dinno.

Sajuki na Deborah hao sisemi.

Nimewagusia wachache tu, twende nyanja nyingine



Sijakuelwa una maana gani, ila kama una zungumzia mtandao wa mapenzi kwa waigizaji mbona hilo sio TZ tuu, .

Mfano mdogo mzuri tuu wa karibuni hapo ,labda uliona kwnye TV, nadhani ulisikia SAG Awards , kama hugjaona, basi Presenter walokuwa wanapresent categori moja ,walikua NIcole Kidman, Penolepe Cruz ,Kate Hudson na mwingine niem sahau, Ukiangalia hao wawili NIcole (ex wife)na Penolope (girlfriend) wote walesha kua na mahusiano na Tom Cruise .

Nachotakakusema Mitanda hii ipo kila sehemu hata Hollywood ni jambo la kawaida kwa watu wano fanya shughuli moja kua na uhusiano wa mapenzi.
 
Muanzisha mada amenigusa sana kwa sababu mwanzo niliapa sintonunua filamu za kibongo kwa sababu ya uduni wa ubora wao.

Pia extremism,hakuna kiasi cha wastani..aidha mtu ni tajiri sana au ni masikini sana...Navyojua mimi Watanzania wengi ni maisha ya kati, hata kijijini sio wote ni wa chini kabisa. Utamaduni wanaoonyesha sio picha halisi ya jamii ya wa-Tanzania ndio maana filamu zetu zinakosa kitambulisho (identity). Zinakua za kibongo si kibongo, kinaijeria si kijaijeria basi tu mradi ni filamu imetoka.

CHANGAMOTO KWA WANA-JF!!
Ukosefu wa ubora wa filamu za kibongo ni nafasi nzuri kwa mjasiriamali yeyote kwenda kujifunza uongozaji wa filamu vizuri (hata ikibidi nje ya nchi) na kurudi bongo kufanya kazi nzuri kwani soko lipo. Kuendana na wachangia mada hapo juu..soko lipo sana jamani. Tubadilike tuache kufanya biashara tulizozoea tu,tuwekeze kwenye masoko yanayoibukia! Wenzetu Wakenya wameshtuka zamani ndio maana hata TV-advertisements zao ni bora kuliko zetu!!!
I wish the next thread/reply would have a link to universities with such courses watu wajipange waende...the year is still new...!!
 
Nadhani wanafanya haraka sana katika kutengeneza movie. Wanashoot movie nyingi kwa kipindi kifupi sana. Ndio maana movie nyingi za wabongo zimefanana hadithi yake.
 
...Yoyo, si kweli kuwa bongo hakuna kitu kizuri alichosema QM ni mtazamo wake kwa jinsi jicho lake lilivyoona hizo filamu. Tnapofanya kitu lazima watu wakubali kukosolewa ndio njia ya kujenga hatimaye kupata kitu kizuri..Hata hao wenye vitu vizuri sidhani kama siku walipoanza kutengeneza tu vilikuwa vizuri, No waliviboresha kadri watu walivyoshauri. Unaweza kuamini mvumbuzi wa gari alipanga liende mbele lakini akajikuta limegoma badala yake likarudi nyuma? Unadhani asingeshauriwa hatimaye kuboresha tungekuwa wapi sasa???

watanzania lazima tukubali kujifunza na kukubali kukosolewa ndio mchakato wa mafanikio unavyokwenda ndugu!!!

tatizo la bongo ni ushamba na ulimbukeni tuliokua nao, nikianza kutoa mifano hapa ni mingi tu. kila jambo lazima lipitilize sababu ya kukurupuka. watoto wa kindergarten wanavaa majoho, sijui hii ni ya wapi? hata hadhi ya lile joho haipo tena, malaria ambassador wako lukuki wakati nchi za wenzetu ni mmoja au wawili, michango ya harusi unaweza kugombana na rafiki maana hukumchangia, mtu ana birthday anaomba mchango, graduation, kimaipara na upuuzi wote unaohusiana na kula, kuna mengi, ndio maana hata kina kanumba wako kwenye ulimbukeni sababu ya hali ya nchi yenyewe ina u limbukeni. No matter they overdress. mtu ana act masikini lakini nyumba aliyoazima iko masaki na anaendesha VX, wote ulimbukeni na kukosa shule. hawezi ku act yombo huko maana ataonekana sio star. kuna movie nyingi za kitanzania actors siwajue hata mmoja, ni za mikoani, ni nzuri mno, mara nyingi africa magic wanazionyesha, story nzuri na za maadili ya mtanzania. hakuna kitu artificial.
 
Tatizo wasanii wetu wa filamu wanakurupuka sana, filamu moja inatengenezwa ndani ya wiki 2 imekamilika inaingia sokoni, katika hali kama hiyo ubora utatoka wapi.,bora wangelikuwa na elimu ya kutosha angalau wangeweza kujifunza toka kwa wenzetu, filamu zetu zimejaa nadharia tu, hakuna hata chembe ya uhalisia, ukosefu wa elimu ya uigizaji na utengenezaji wa filamu unawafanya washindwe kuwa wabunifu kabisa, tatizo ni kwamba wanaridhika na visenti wanavyopewa na wahindi huko madukani, wataendelea kuibiwa hivyo hivyo na mwisho watafulia wote...kalagabaho!!!
 
Nimeacha kuziangalia. Mfano SAUTI, mtu akiwa karibu sauti inasikika akisogezwa mbali sauti nayo inaenda mbali.

MWANGA, ndo kichekesho kabisaaa, hawaangalii mwanga unatokea wapi sometimes mtu mweusi wala haonekani.

KUREFUSHA scene, Mfano kwenye OPRAH, gari inaondoka home inaonyeshwa almost dakaka tatu bila sababu.

Kwa kifupi kuna mengio sana ila ninachoona ni kuwa FILAMU bongo ni ajira ya waliokosa cha kufanya na wasio na shule tena shule ya utengenezaji wa movie ni NEGATIVE wala sio sifuri.

Ku act wanajua ila kutengeneza movie ni NEGATIVE.

Basi wanangetafuta hata CRITICS wawe wanazitazama kwanza..
 
Ray anatoa Filamu moja KILA MWEZI. Unajua watu wenye uwezo wa kununa CD hizo ni kama sisi hapa, wangetengeneza kitu chenye hadhi ya juu wangepata soko. Lakini hawajui, shule ya kizungu nzuri sana kwa kweli.
 
THIS IS ABOUT THE SUBTITLES ON BONGO MOVIES. I HAVE BEEN OBSERVING THIS TREND OF BAD TRANSLATIONS MOST OF WHICH END UP DISTORTING THE WHOLE MEANING OF THE SPOKEN WORDS IN THE MOVIE. BONGO MOVIES IS AN EXPANDING INDUSTRY AND THE PEOPLE CONCERNED NEED TO LOOK FOR BETTER TRANSLATIONS OR TRANSLATORS TO ASSIST THEM AS THIS WILL ENHANCE THE MARKETING OF THE MOVIES TO FOREIGN OR ENGLISH SPEAKING AUDIENCES.

OR, MAYBE I CAN HELP? WHY NOT CHECK ME OUT? IAM IN THE PROCESS OF REGISTERRING MY OFFICE WHICH IS GOING TO DEAL WITH BILLINGUAL TRANSLATION SERVICES AS ONE OF ITS PRODUCTS.

YOU CAN WRITE TO ME VIA MY EMAIL: kasalile.ben@gmail.com. LET US HELP EACH OTHER IN BUILDING THE FILM INDUSTRY. AFTER ALL, IT IS BECOMING A GOOD EMPLOYMENT OPPORTUNITY TO MOST OF THE TEENAGERS.

BEN
 
Tatizo ni kwamba tunataka kuiga watu hali ya kuwa elimu ni ndogo sana.Unajua enviroment
ndio muhimu katika picha enviroment kubwa ya wabongo ni barabara na ofisi.

EDITING
computet zenyewe pentium 4 za mwaka 2002 ni taabu tu na mashaka.
Badala ya kutengeneza track watuekea vinanda.
Color correction ndio kabisa hakuna.
Wasanii wenyewe hawako sirious hata kidogo
ni wachache tu.

CAMERA
Yaani apa ndio tatixo wachukua hawana elimu yoyote huwa wamurika tu km vile harusi.
Kamera zenyewe panasonic za 2005.

STORYBORD
Hapa siku zote ndo tuharibu mwanzo unakuta picha inaanza vyema mwishowe yaharibika
VOICE
Sauti unaweza kuikuta imechanganyika na zogl la kitu chengine ambacho hakihusiani na movie
kwa7bu hawanyi re-recording ile sauti inauliwa na kurikodiwa tena studio kwa noise zilizokuwa hazina maana
TECHNOLOGY
Wewe utaiga vipi watu fani yako ndogo wenzetu movie ndogo tu unaridhika
BUDGET
Bajeti ya bongo movie haizidi milioni 20 wakati watu mabiliono
Africa tunapenda utapeli na wixi ndio maana.
 
Waigizaji wetu:

Walio wengi si wasanii katika uhalisia. Wema Sepetu, Joketi, Irene Uwoya, Lissa Jensen hawa ni ma-miss. Nadhani wangeendelea na ukanda wao. Kushirikishwa si mbaya lakini inaelekea wanaigeuza kuwa kawaida sasa

Ngono:
Bongo msanii hachezi movie (hasa wa kike) bila kutoa rushwa ya ngono. Mabinti wengi wanaonekena kuigiza sababu ya njaa zao na wengine wanaigiza ili kuuza sura wapate mabwana wenye fedha.

Nina mifano michache:
Ray (Vincent Kigosi) anaishi na Johari. Huyuhuyu Ray alishawahi kuwa na mahusiano na Mainda (na huyu Mainda alikuwa anatembea na marehemu Max ambaye aliondoka na ngoma), Dotnata, jimama moja la Ilala na wengine lukuki.

Ray huyu anajifanya hana Baba wakati babake ni mzee Kigosi na anaishi Dodoma. Namshauri akamsalimie babake na amwombe radhi kwa kumkosea heshima. Wewe ni Mgogo na uache kuwadanganya watanzania kuwa wewe ni Mhehe.

Kanumba alikuwa na mahusiano na wafuatao; Wema Sepetu, Lilian Internet (wa Twanga Pepeta) na wengine lukuki.

Nora; huyu alipofariki Ngwizukulu akahamia kwa jamaa ambaye baadae mambo yalienda vibaya kwani alijikuta anapigwa picha za uchi na kupata kichaa cha mapenzi. Kwa sasa amejipoza kwa Tito (Carlos).

Lona; huyu alikuwa anatembea na Kelvin, baadae akahamia kwa Cheni sijui kwa sasa yupo na nani lakini nitamfuatilia.

Maya; huyu kwa sasa anaishi na Swebe.

Colleta huyu ana wezere kubwa nasikia alipigwa mtungo na sasa kapata bwana ambaye kaamua kumsomesha.

Maina; huyu alitembea na Chrisant Mhenga (walifanyia mambo haya machafu pale Tip Top), Cheni, Richie Mtambalike, JB, Tino (Hisani), akaolewa na sasa katemwa kutokana na tabia yake chafu.

Dida wa Michopsi, huyu kwa sasa yupo Times FM kama mtangazaji wa mipasho. Huyu ameingilia ndoa ya watu na ni mke wa tatu kwa jamaa. Aliingia kwenye maigizo kwa lengo la kupata bwana tu ili mradi apate fweza.

Cathy (alikuwa Mambo Hayo), huyu kaacha mme wake kaamua kuanza kutembea nje ya ndoa na Dinno.

Sajuki na Deborah hao sisemi.

Nimewagusia wachache tu, twende nyanja nyingine


Huu uzi una madini balaaa 😀😀😀

Leo napitia news za zamaniiiii
 
Back
Top Bottom