Nadhani tu tu regulate sectors ambazo hazina ushindani. Elimu inaushindani sana kuna shule za serikali na binafsi na ada zinatofautiana sana hakuna sababu ya regulationsBila shaka utakuwa ni mdau wa elimu hizi za kilanguzi. Bila ya chombo kama SUMATRA nauli za maBASI na daladala sasa hivi zingekuwa wapi? Bila ya EWURA bei za mafuta na maji ya DAWASA zingekuwa wapi? Kwa nini unapinga tusiwe na chombo cha ku-regulate ELIMU yetu? Unadhani ni kwa nini shule za umma zimekuwa hivi zilivyo sasa? Enzi zangu mimi kwenda Private School ilikuwa ni aibu. Ni mjinga. Umefeli!
Mimi nadhani tu regulate tu sector ambazo hazina ushindani. Elimu kuna shule zaserikali na sector
Tubadilike. Sio kila kitu tukiweke sokoni kama nyanya. Suala la ELIMU kwa nchi yoyote ile makini haliko kama ilivyo hapa kwetu sasa. Tuna-regulate simu tunaacha ELIMU! Unafurahia mtoto kumaliza darasa la saba bila kujua kusoma wala kuandika?