Dr Slaa Kuwa Mgeni Rasmi Mahafali Darasa la Saba Queens' Schools

hahaha yale yale madrasa ni shule sema kwa lugha tofauti, ni sawa sawa na school na shule naona hilo hulijui, halafu hizo karet na judo utajua faida yake soon ww kunywa tu bia na jumapili nenda kanisani kanywe divai na mkate wa kinyesi sio mm msemaji ni biblia, halafu sooner than u thnk utakuja kuona nchi inaongozwa na kina nani



....From a seemingly allegedly and supposedly Great Thinker, this is just Too Low....!:nimekataa
 
Speech ya mtoto wa darasa la tano in english. Why are we poor. Anasema ni rushwa, serikali kushindwa kuwajibika, mikataba mibovu, elimu duni nk. Anasema lazkma tuwe na serikali inayowajibika kwa watu na izingatie misingi ya usawa na haki iliyowekwa na azimio la arusha
 
Kuna mtoto anatoa lecture ya pregnacy in english utadhani university lecturer. Inaonekana elimu ya hapa ipo juu sana yaani mtoto mdogo anatoa lectucture utadhani professor
 
Back
Top Bottom