Dr Slaa Kuwa Mgeni Rasmi Mahafali Darasa la Saba Queens' Schools

Nitamshauri msajili wa vyama vya siasa, apige marufuku kwa viongozi wa vyama vya siasa wasio na wadhifa wowote rasmi wa umma, kualikwa kuwa wageni rasmi wa mahafali ya shule za chekechea, msingi na sekondari ili kuwakinga watoto wetu na political indoctrination kwenye siasa. Tena kanuni itasisitiza hata hao viongozi wa siasa wenye utumishi rasmi wa umma, ni marufuku kuhutubia siasa kwenye mahafali zozote za shule ili kuepuka kuzigeuza shule kuwa ulingo wa siasa!.

Katazo hili, sio mahsusi kwa Dr. Slaa bali kwa wanasiasa wote!. Shule zihesabiwe kama nyumba za ibada, iwe ni marufuku kabisa kupiga siasa shule za chekechea, msingi na sekondari, siasa zianzie vyuoni ambako wanafunzi wanaingia wakiwa wameshatimiza majority age of 18!.
Busara zaidi kama ukimshauri kipenzi chako Philipo Mulugo afute kabisa masomo ya uraia, Civics na General Studies kwenye hizi shule kwani yana wapatia uwanja walimu kumwaga sera za vyama vya siasa wanavyoviunga mkono bila kudhibitiwa! na mwaka 2015 hauko mbali !
 
Tunapoongea mambo ya elimu huwa mnakuwa ISOLATED kweli kweli, mnaishia kutoa comments za kijinga kwa kuwa hamna cha kuchangia. Ngoja kidogo mkuu nitabandika mada ya kuhusu kula na kufuga mapepo naamini na wewe utachangia, sawa mzee wetu?

Nimeona picha yako ya jana, ni nzuri sana.

Mbavu sina..khaa
 
Nitamshauri msajili wa vyama vya siasa, apige marufuku kwa viongozi wa vyama vya siasa wasio na wadhifa wowote rasmi wa umma, kualikwa kuwa wageni rasmi wa mahafali ya shule za chekechea, msingi na sekondari ili kuwakinga watoto wetu na political indoctrination kwenye siasa. Tena kanuni itasisitiza hata hao viongozi wa siasa wenye utumishi rasmi wa umma, ni marufuku kuhutubia siasa kwenye mahafali zozote za shule ili kuepuka kuzigeuza shule kuwa ulingo wa siasa!.

Katazo hili, sio mahsusi kwa Dr. Slaa bali kwa wanasiasa wote!. Shule zihesabiwe kama nyumba za ibada, iwe ni marufuku kabisa kupiga siasa shule za chekechea, msingi na sekondari, siasa zianzie vyuoni ambako wanafunzi wanaingia wakiwa wameshatimiza majority age of 18!.
Pasco did you loose your mind au nimesoma sijakuelewa?What a contribution brother !!!!!!
 
. Mkuu Lunyungu, najiamini I'm a person of a sound mind!. Angalia isije kuwa na wewe uko kwenye kundi la watu mnaoabudu miungu watu, hivyo kila ukihisi maslahi ya mungu yanatishiwa, unaona kama hii ni kazi ya shetani!.

Ila pia isije kuwa nimeanza kufikia the stage of mind incapacitation before I've reached the age of 75, that being the case, mimi natakiwa kuwa ni mtu wa kuhurumiwa na sio wa kubezwa!. Hata wale vichaa wanaookota makopo, au wanaotembea watupu, wao ndio wanajiona wako right, na kuwashangaa nyinyi mnaficha nini wakati kila binadamu anajulikana alivyo!. Isije kuwa mimi nadhani kuwa niko right, kumbe ndio naelekea kuokota makopo!.
Nahitaji msaada wako, vinginevyo Mzee Lunyungu ni wewe ndio utakuwa ...
P.
 
Pasco unanifurahisha sana.
 
Kuna hizi: Al-Haramain, Kirinjiko Islamic, AT-TAAUN ISLAMIC GIRLS, AL-KHEIR ISLAMIC GIRLS, MUDIO ISLAMIC, THAQALAIN ISLAMIC, ARAFAH ISLAMIC, AHLULBAYT ISLAMIC, MHUMBU ISLAMIC, ZUHRA ISLAMIC, AL-FURQAAN ISLAMIC, LUQMAN ISLAMIC, WALIUL ISLAMIC BOYS, KHAIRAAT ISLAMIC, MARKAZ ISLAMIC, et. al. halafu zote zina hadhi SEMINARY! Ha ha ha ha ha!
performance yao iko vipi mkuu
 
Back
Top Bottom