Dr Slaa Kuwa Mgeni Rasmi Mahafali Darasa la Saba Queens' Schools

Mkuu tunaomba kufahamishwa kama fomu za Form I 2013 zinapatikana. Hadi Dr. Slaa kakubali kuwa mgeni rasmi, hiyo shule lazima itakuwa ya mfano.
 
hahaha yale yale madrasa ni shule sema kwa lugha tofauti, ni sawa sawa na school na shule naona hilo hulijui, halafu hizo karet na judo utajua faida yake soon ww kunywa tu bia na jumapili nenda kanisani kanywe divai na mkate wa kinyesi sio mm msemaji ni biblia, halafu sooner than u thnk utakuja kuona nchi inaongozwa na kina nani
kuota ni lazima uwe umelala sasa wewe da@
 
Hebu tudokeze kidogo kuhusu karo yake kwa mwaka. Najua itakuwa inazidi kwa mbali ile anayolipa mwanachuo wa UDSM! Ni lini tutakuwa na chombo kama TCRA(kwenye mawasiliano), SUMATRA(kwenye usafiri na uchukuzi), EWURA(kwenye nishati na maji), ..., kwenye ELIMU yetu? Au kwa kuwa hii ni miradi ya wakubwa?
Pamoja na kwamba wanatoa elimu bora sana bado ada ziko chini sana. Nakumbuka mwaka juzi mwanangu nilikuwa namlipia laki nane kwa mwaka sidhani kama imepanda sana
 
Mkuu bora umfundishe mwanao peke yako nyumbani kulikoni kumpeleka hizo shule...

chuki yenu haitafanikiwa badala yake mtadhalilika.mungu anajua mnachokipanga kwa siri na ndio mnajiumbua humu
 
By default kama inaperform vizuri hadi kupata barua ya pongezi ujue ina connection na kanisa, na sio msikiti.
Kuna msikiti pale Soko la Kilombero Arusha, watoto wa umri huo wanafundishwa Judo na Karate, ukipita jirani unasikia Huu-haaa! Najiuliza hatima ya hao watoto itakuwa nini.
Wakati huo wenzao wako darasani wanakata mapythagoras theorem na schrodinger`s theorem.

Mkuu umenifurahisha. Ha Ha Ha!!!
 
Mkuu tunaomba kufahamishwa kama fomu za Form I 2013 zinapatikana. Hadi Dr. Slaa kakubali kuwa mgeni rasmi, hiyo shule lazima itakuwa ya mfano.
Dr Slaa kakosea kuwa mgeni rasmi shule hizi za kitapeli na kifisadi. Wanaomudu karo za shule hizi ni mafisadi, matapeli na wanaSIASA wetu. Labda kama naye ana hisa kwenye shule hii!
 
st marys ambazo ndio wanaoiba umeme sana haopa nchini,st peter wanaoiba mitihani sana hapa nchini na junior seminary inayotoa mapadre sana hapa nchini ambao wengi kwa sasa ni viongozi wa chadema

wivu mubaya sana! Kwani na nyie madrasa zenu za karatee hamgradurate ili mumuaalike shek ponda?
 
Ataenda na mke wake rose kamili au hawara ake josephine?mkuu tujuze tafazali
 
Kuna hizi: Al-Haramain, Kirinjiko Islamic, AT-TAAUN ISLAMIC GIRLS, AL-KHEIR ISLAMIC GIRLS, MUDIO ISLAMIC, THAQALAIN ISLAMIC, ARAFAH ISLAMIC, AHLULBAYT ISLAMIC, MHUMBU ISLAMIC, ZUHRA ISLAMIC, AL-FURQAAN ISLAMIC, LUQMAN ISLAMIC, WALIUL ISLAMIC BOYS, KHAIRAAT ISLAMIC, MARKAZ ISLAMIC, et. al. halafu zote zina hadhi SEMINARY! Ha ha ha ha ha!
 
Pamoja na kwamba wanatoa elimu bora sana bado ada ziko chini sana. Nakumbuka mwaka juzi mwanangu nilikuwa namlipia laki nane kwa mwaka sidhani kama imepanda sana
Laki nane kwa mwaka! Hiyo itakuwa ni Day School na gharama za usafiri humo hazimo! Dr Slaa, zungumza kidogo kuhusu shule hizi zinavyojenga matabaka ya nguvu ndani ya nchi yetu wenyewe. Hili unalionaje utakapokuwa Rais wetu mwaka 2015?
 
Ataenda na mke wake rose kamili au hawara ake josephine?mkuu tujuze tafazali

Vipi kwani; ulitaka aende na wewe? Midume mingine bana, unahoji mambo ya chumbani kwa mwanamume una akili kweli weye?
 
Nitamshauri msajili wa vyama vya siasa, apige marufuku kwa viongozi wa vyama vya siasa wasio na wadhifa wowote rasmi wa umma, kualikwa kuwa wageni rasmi wa mahafali ya shule za chekechea, msingi na sekondari ili kuwakinga watoto wetu na political indoctrination kwenye siasa. Tena kanuni itasisitiza hata hao viongozi wa siasa wenye utumishi rasmi wa umma, ni marufuku kuhutubia siasa kwenye mahafali zozote za shule ili kuepuka kuzigeuza shule kuwa ulingo wa siasa!.

Katazo hili, sio mahsusi kwa Dr. Slaa bali kwa wanasiasa wote!. Shule zihesabiwe kama nyumba za ibada, iwe ni marufuku kabisa kupiga siasa shule za chekechea, msingi na sekondari, siasa zianzie vyuoni ambako wanafunzi wanaingia wakiwa wameshatimiza majority age of 18!.
 
Back
Top Bottom