findu fiki
JF-Expert Member
- Mar 31, 2011
- 431
- 67
Kanisa gani?Hata ikiwa ya kanisa kuna ubaya?itakuwa ya kanisa hio
Kanisa gani?Hata ikiwa ya kanisa kuna ubaya?itakuwa ya kanisa hio
Nauliza hivi shule za Msikiti ziko wapi jamani, nataka nimpeleke mwanangu huko!
Na je ufaulu wake ukoje?
Asante kwa taarifa.
Hiyo shule itakuwa ya kisasa sana na Walimu wake wana akili.
Kwani sasa hivi nchi inaongozwa na akina nani?hahaha yale yale madrasa ni shule sema kwa lugha tofauti, ni sawa sawa na school na shule naona hilo hulijui, halafu hizo karet na judo utajua faida yake soon ww kunywa tu bia na jumapili nenda kanisani kanywe divai na mkate wa kinyesi sio mm msemaji ni biblia, halafu sooner than u thnk utakuja kuona nchi inaongozwa na kina nani
Ushabiki ni mzigo hao walimu huwajui wala hujawahi kuwaona umejuaje kama wana akili.
Tunaogopa akisilimu atakosa haya kiasi cha kupanda haya vitoto vya miaka 9. Si unakumbuka vile marehemu alifanya?
Naomba tujadili hoja hizi hazitusaidii kuijenga Tanzania mpya
Ha ha ha ha ha ha! Mkuu marehemu alikuwa kiboko; alikilipia mahari kikiwa na miaka 6 halafu akaanza kukitandika fimbo za kiutu uzima kilipofikisha miaka 9 kamili eti ndio baadaye kilikuja kujulika kama mama wa waumini! Hili zee hakika litaingiza roho nyingi sana Jehanam.
Hebu tudokeze kidogo kuhusu karo yake kwa mwaka. Najua itakuwa inazidi kwa mbali ile anayolipa mwanachuo wa UDSM! Ni lini tutakuwa na chombo kama TCRA(kwenye mawasiliano), SUMATRA(kwenye usafiri na uchukuzi), EWURA(kwenye nishati na maji), ..., kwenye ELIMU yetu? Au kwa kuwa hii ni miradi ya wakubwa?
Thread imeishachafuka kwa upuuzi.
Kwani sasa hivi nchi inaongozwa na akina nani?
Bila shaka utakuwa ni mdau wa elimu hizi za kilanguzi. Bila ya chombo kama SUMATRA nauli za maBASI na daladala sasa hivi zingekuwa wapi? Bila ya EWURA bei za mafuta na maji ya DAWASA zingekuwa wapi? Kwa nini unapinga tusiwe na chombo cha ku-regulate ELIMU yetu? Unadhani ni kwa nini shule za umma zimekuwa hivi zilivyo sasa? Enzi zangu mimi kwenda Private School ilikuwa ni aibu. Ni mjinga. Umefeli!Bwana wee acha kuleta siasa kwenye elimu! Wakati mawaziri, wabunge, wanasiasa wa ngazi za juu, wakurugenzi na mameneja walioteuliwa na rais wako wanaweza kuwapeleka watoto wao nje ya nchi kusoma chekechea kuwaanda kuja kuingoza nchi hii wanayoamini kuwa ni yao na siyo yetu sote! Sisi tuna wanatufungulia shule za kata ili tuendelee kubakia kuwa maamuma wanywa mbege. Wanaendelea na kuomba tusione mwanga ili wao wale vilivyosalama na safi wakati sisi kila kipande cha mhogo kimejaa mchanga!
Wakati wao wanawaandaa watoto wao kupanda V8 sisi wanatuandalia treni zile ambazo mabehewa yamechooka pale stesheni.
Ndugu yangu ni bora tuendelee kupambana tuwapeleke watoto wetu kwenye shule hizi unazozifikiria za ghali angalao wakaone mwanga kuliko kutafuta hiyo sumatra ama TCRA yako ambayo inakufanya leo miaka hii kupanga foleni ukisubiria mafuta. Hizi sumatra, tcra nk zimesaidia nini zaidi ya kuongeza mzigo kwa wananchi?
Kwa taarifa tu shule kama ISM pale Moshi IST pale dar fees unazungumzia 15,000$ kwa mwaka. We utamudu kweli? Kama sio wale wenye uwezo wa kununua nyumba 700,000$?
Kwa taarifa tu ni kuwa hawataki hata mwende shule na wakianzisha hiyo sumatra yao ni kiama kwenu!
Umenichekesha kweliiiiHiyo Shule wameona mbali, maana jamaa akiukamata urasis 2015 wameula.
bila shaka ni ya watu binafsi hii ?
Anyway itakuwa lini ?