Precise Pangolin
JF-Expert Member
- Jan 4, 2012
- 12,998
- 6,660
Mwenye jipya ni promota wa diamond?Si nilisema atakuja na document za siri Kubwa, hana jipya huyu mzee.

Si nilisema atakuja na document za siri Kubwa, hana jipya huyu mzee.
Vipi kuhusu zile tuhuma za kutaka kuuawa hajazitengenezea nyaraka?
Huyu mzee anahitaji maombi, mzee wa upako ebu msaidie huyu mtu.Simuelewi kwa kweli yaani Sitta kutoa maoni yake leo anakuja na kashfa yake siku zote alikuwa wapi? inamaana Sitta asingezumza yale hizo document angekolezea mkaa nyumbani kwake?

Huu moto wa m8c utapoa tu. 2015 mbali!!
Si nilisema atakuja na document za siri Kubwa, hana jipya huyu mzee.
Mkuu unahamu hahahaha sasa na Mshumbusi atakuwa na nini!
Huyu mzee anahitaji maombi, mzee wa upako ebu msaidie huyu mtu.Simuelewi kwa kweli yaani Sitta kutoa maoni yake leo anakuja na kashfa yake siku zote alikuwa wapi? inamaana Sitta asingezumza yale hizo document angekolezea mkaa nyumbani kwake?
huyu mzee hata mimi naanza kumtafakari kwa kina.something is veeeeerrrry wrong here.
unamaanisha uchaguzi na sensa inapofanyika jumapili wakristu wasiudhulie, unamatatizo kichwani wewe!
Halafu hao ndo supporters wa JK,ukitaka kumjuwa JK,tizama posti zao hao watu wake.Ni wadini vibayaa!Wabaguzi wakubwa hawafai hata kuitwa watanzania.
evidence ya kutaka kuuliwa uliziona? Evidence ya silaha za ccm uliziona? Labda kama ulienda mahakamani akaja kukuonyesha.Hahahahahahaha
Dr slaa aropoki kama Nape yeye ana kuja na evidence sio maneno matupu!
Maana kama maneno matupu hata mitaani wanaweza hiyo shughuli anayo ifanya Nape!