Dkt. Slaa asiaminiwe kamwe anauzika kwa bei yoyote wakati wowote

MKWEAMINAZI

JF-Expert Member
May 28, 2023
930
1,299
Wananchi nawasabahi.Nadhani yaliyotokea 2015 wakati nchi inaelekea kwenye uchaguzi mkuu kila mtu ni shahidi.

Dkt. Slaa alikuwa katibu mkuu wa CHADEMA chama kikubwa cha upinzani na mikakati yote ya ndani ya chama ya kumpata mgombea urais makini huyo Dr. Slaa alishiriki kwa asilimia 100.

Chadema ilihitaji mgombea mwenye nguvu na mvuto kwa wapiga kura na bahati nzuri walifanikiwa kumpata mgombea ambaye aliwawezesha kupata idadi kubwa ya kura na wabunge madiwani wengi na kusababisha CCM ya Kinana, Nape na Makamba wajifungie Masaki kuchakachua kura kuzipunguza kura za CHADEMA ili CCM ishinde .

Yote haya yanatoa Dr. Slaa alikuwa kaitukana CHADEMA, kaidhalilisha CHADEMA

Mbele ya waandishi wa habari akiwa Serena hotel huku kasimamia na bw Mwakyembe.

Alichoahidiwa ni siri yake na wahongaji wake na mwishowe alitunikiwa ubalozi.

Huyo ndio Dr. Slaa aliyeisaliti CHADEMA katikati ya vita ngumu kwa vipande vya fedha na ubalozi.

Mungu sio athumani ujio wa Rais s
Samia umemuumbua Dr. Slaa kwani amemlipa kwa matendo yake ya usaliti kwa kumvua ubalozi asante sana Mama .

Dkt. Slaa asiaminiwe tena ni askari msaliti anayenunulika kwa bei yoyote na wakati wowote asiaminiwe kamwe.

1648284966886.jpg
 
Wananchi nawasabahi.Nadhani Yaliyotokea 2015 wakati NCHI inaelekea kwenye UCHAGUZI MKUU kila MTU ni SHAHIDI.Dr SLAA alikuwa KATIBU MKUU wa CHADEMA CHAMA KIKUBWA cha UPINZANI na MIKAKATI yote ya NDANI ya Chama ya Kumpata MGOMBEA URAIS MAKINI huyo DR.SLAA alishiriki kwa ASILIMIA 100.CHADEMA ilihitaji Mgombea mwenye NGUVU na Mvuto kwa Wapiga Kura na BAHATI nzuri walifanikiwa kumpata Mgombea ambaye aliwawezesha kupata IDADI KUBWA ya KURA na WABUNGE MADIWANI wengi na kusababisha CCM ya KINANA NAPE NA MAKAMBA wajifungine MASAKI KUCHAKACHUA KURA kuzipunguza KURA za CHADEMA ili CCM ishinde .
YOTE haya yanatoa Dr.SLAA alikuwa KAITUKANA CHADEMA
KAIDHALILISHA CHADEMA
mbele ya Waandishi wa Habari akiwa SERENA HOTEL huku kasimamia na Bw MWAKYEMBE.
Alichoahidiwa ni SIRI YAKE na WAHONGAJI wake na Mwishowe ALITUNIKIWA UBALOZI.
Huyo ndio DR.SLAA Aliyeisaliti CHADEMA katikati ya VITA NGUMU kwa VIPANDE vya FEDHA na UBALOZI.
MUNGU sio ATHUMANI Ujio wa RAIS SAMIA umemuumbua DR.SLAA kwani amemlipa kwa Matendo yake ya USALITI kwa KUMVUA UBALOZI ASANTE sana MAMA .
DR SLAA Asiaminiwe Tena ni ASKARI MSALITI anayenunulika kwa BEI yeyote na Wakati wowote ASIAMINIWE KAMWE.View attachment 2771170
Halafu leo analeta mipua kuwa anatetea bandari. Achana naye please
 
Wananchi nawasabahi.Nadhani yaliyotokea 2015 wakati nchi inaelekea kwenye uchaguzi mkuu kila mtu ni shahidi.

Dr slaa alikuwa katibu mkuu wa chadema chama kikubwa cha upinzani na mikakati yote ya ndani ya chama ya kumpata mgombea urais makini huyo dr.Slaa alishiriki kwa asilimia 100.

Chadema ilihitaji mgombea mwenye nguvu na mvuto kwa wapiga kura na bahati nzuri walifanikiwa kumpata mgombea ambaye aliwawezesha kupata idadi kubwa ya kura na wabunge madiwani wengi na kusababisha ccm ya kinana nape na makamba wajifungine masaki kuchakachua kura kuzipunguza kura za chadema ili ccm ishinde .

Yote haya yanatoa dr.Slaa alikuwa kaitukana chadema

Kaidhalilisha chadema

Mbele ya waandishi wa habari akiwa serena hotel huku kasimamia na bw mwakyembe.

Alichoahidiwa ni siri yake na wahongaji wake na mwishowe alitunikiwa ubalozi.

Huyo ndio dr.Slaa aliyeisaliti chadema katikati ya vita ngumu kwa vipande vya fedha na ubalozi.

Mungu sio athumani ujio wa rais samia umemuumbua dr.Slaa kwani amemlipa kwa matendo yake ya usaliti kwa kumvua ubalozi asante sana mama .

Dr slaa asiaminiwe tena ni askari msaliti anayenunulika kwa bei yeyote na wakati wowote asiaminiwe kamwe.
View attachment 2771170
Usitufundishe kuwachukia watu kwasababu tu wewe unawachukia
 
Kiongozi ambaye kwenye chama chake kulitokea sintofahamu akasusa kwa maneno yake mwenyewe kwamba amestafu siasa wakati ambao alikuwa na kundi kubwa la watu waliokuwa na Imani kubwa juu yake.

Leo hii anasimama majukwaani kujaribu kufurukuta kurejea siasani, sijui alisahau nini

Huyu Mzee na mwenzie Lipumba ni bure kbs!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Padre mzinzi wilbroad slaa ni sigara Kali,akiwashwa mbele anawaka,akiwashwa nyuma anawaka,aah sigara Kali..!?
 
MBOWE NA SLAA NANI MPIGA DILI?BORA SLAA ALIYEONYESHA MSIMAMO KULIKO MBOWE ALIYENUNULIWA NA LOWASA.LOWASA FISADI GAFLA LOWASA SI FISADI,PUMBAVU KAMCHEZE NA WATOTO HUKO.MBOWE NI MPIGA DILI KM LIPUMBA NA ZITO
 
Halafu leo analeta mipua kuwa anatetea bandari. Achana naye please
lowasa fisadi mara lowasa c fisadi,mbowe ni zaidi ya fisadi alipotoka gerezani akaenda kunywa chai ikulu dili ova,misukule mnahangaika huku.cna imani na mwanasiasa yeyote yule,wote ni kundi moja
 
Kiongozi ambaye kwenye chama chake kulitokea sintofahamu akasusa kwa maneno yake mwenyewe kwamba amestafu siasa wakati ambao alikuwa na kundi kubwa la watu waliokuwa na Imani kubwa juu yake.

Leo hii anasimama majukwaani kujaribu kufurukuta kurejea siasani, sijui alisahau nini

Huyu Mzee na mwenzie Lipumba ni bure kbs!!

Sent using Jamii Forums mobile app
KWAHYO KOSA LAKE NN?AU NN KINAKUUMA?WIVU TU KISA ANAMFUNIKA HUYO MBOWE WAKO MPIGA DILI
 
Magufuli alisha tufungua macho Tz hakuna upinzani wa kweli wanasiasa wote ni wachumia tumbo tu.
 
Ni sababu gani alizotoa Dr. Slaa ? Wewe ungeweza mtu mchafu na kashfa zote zile, umemsema nchi nzima leo hii aje awe msafi na Urais apewe?

Kwa hali ya kawaida ukiacha ushabiki wa u chama, Dr. Slaa alikua sahihi sana. Kama Dr. Slaa leo hoi akiungana na Lowasa akaanza kumsifia, hakika atakua ni mtu wa ajabu. Kusimamia misimamo inayoamini ndio uhai wa mwanaume halisi.
 
Watanzania wengine wanashida sana kwenye akili zao ndio maana nchi inakua hivi ilivyo.
 
Wananchi nawasabahi.Nadhani yaliyotokea 2015 wakati nchi inaelekea kwenye uchaguzi mkuu kila mtu ni shahidi.

Dkt. Slaa alikuwa katibu mkuu wa CHADEMA chama kikubwa cha upinzani na mikakati yote ya ndani ya chama ya kumpata mgombea urais makini huyo Dr. Slaa alishiriki kwa asilimia 100.

Chadema ilihitaji mgombea mwenye nguvu na mvuto kwa wapiga kura na bahati nzuri walifanikiwa kumpata mgombea ambaye aliwawezesha kupata idadi kubwa ya kura na wabunge madiwani wengi na kusababisha CCM ya Kinana, Nape na Makamba wajifungie Masaki kuchakachua kura kuzipunguza kura za CHADEMA ili CCM ishinde .

Yote haya yanatoa Dr. Slaa alikuwa kaitukana CHADEMA, kaidhalilisha CHADEMA

Mbele ya waandishi wa habari akiwa Serena hotel huku kasimamia na bw Mwakyembe.

Alichoahidiwa ni siri yake na wahongaji wake na mwishowe alitunikiwa ubalozi.

Huyo ndio Dr. Slaa aliyeisaliti CHADEMA katikati ya vita ngumu kwa vipande vya fedha na ubalozi.

Mungu sio athumani ujio wa Rais s
Samia umemuumbua Dr. Slaa kwani amemlipa kwa matendo yake ya usaliti kwa kumvua ubalozi asante sana Mama .

Dkt. Slaa asiaminiwe tena ni askari msaliti anayenunulika kwa bei yoyote na wakati wowote asiaminiwe kamwe.

View attachment 2771170
Haya maneno mazito yanahitaji tafakuri. Ukikurupuka hutamuelewa.

Pili dr silaa hauziki..angekuwa anauzika angepokea zile pesa za lowasa kukubali kuwa mgombea. Aliwaachia kina Mbowe ye akasepa.

Kumbuka dr. Silaa ndio alikuwa muibuaji wa hoja nzito bungeni..wakati kina zitto wanalainishwa na JK ye aliendelea kuamini anachokipigania. Kwa tunaokumbuka kuna wakati aliwekewa hadi voice recorder chini ya chaga kwenye hotel aliyofikia.

Kuna wakati alipewa mvinyo uliotobolewa.

Aliwahi kuandamana yeye na mkewe tena akiwa na mimba changa kwenye maandamano ya amani arusha wakati kina mbowe wameacha wake zao vitandani.

Kwa ushauri tafuta clip za dr silaa alipokuwa bungeni na alipokuwa kwenye mikutani ya chadema. Utamuelewa Dr. ni nani.

Sent from my SM-A225F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom