Dokta Slaa aitisha Press Conference Iringa!

drslaa.JPG
katibu mkuu wa Chadema Dkt Slaa akionyesha baadhi ya vielelezo kwa wanahabari leo mjini Iringa..
drslaa2.JPG Katibu mkuu huyo wa Chadema Taifa Dkt Slaa ameibua mambo mazito juu ya waziri Sitta na serikali yake katika mkutano huo na kueleza mikakati mbali mbali ya Chadema .

Source: Francis Godwin Mzee Wa Matukio Daima
 
IMG_1159.JPG

Katibu mkuu huyo wa Chadema Taifa Dkt Slaa ameibua mambo mazito juu ya waziri Sitta na serikali yake katika mkutano huo na kueleza mikakati mbali mbali ya Chadema .

Habari kamili juu ya kile ambacho Dkt Slaa amekisema mkoani Iringa leo utapata hivi punde.

source: Francis Godwin Mzee Wa Matukio Daima
 
Je vipi kasha zungumzia juu ya Sitta kujenga ofisi ya bunge urambo badala ya Dodoma na ufisadi alioufanya kwenye ununuzi wa vifaa vya ofisi hiyo..
 
DR SLAA AMTOLEA UVUVI WAZIRI SAMWEL SITTA, AFICHUA SIRI NZITO KATI YAKE NA SITTA

katibu mkuu wa Chadema Dkt Slaa akionyesha baadhi ya vielelezo kwa wanahabari leo mjini Iringa

Dkt Slaa akiwa katika mkutano wake na wanahabari mkoa wa Iringa katika ukumbi wa Hoteli ya M.R

Katibu mkuu huyo wa Chadema Taifa Dkt Slaa ameibua mambo mazito juu ya waziri Sitta na serikali yake katika mkutano huo na kueleza mikakati mbali mbali ya Chadema .

Habari kamili juu ya kile ambacho Dkt Slaa amekisema mkoani Iringa leo utapata hivi punde
 
mkuu majebere mbn una vibrate mkuu? hebu tulia kwanza utabiri aliondoka nao shehe yahya naona mwanae kauweka kapuni, asa we utauweza?
 
Hii sasa ni habari.Imekuwaje Kamanda(kwenye picha ya pili toka chini nyuma ya Dr.Slaa) asinzie wakati mambo muhimu yanaelezwa?
 
Huyu mzee anahitaji maombi, mzee wa upako ebu msaidie huyu mtu.Simuelewi kwa kweli yaani Sitta kutoa maoni yake leo anakuja na kashfa yake siku zote alikuwa wapi? inamaana Sitta asingezumza yale hizo document angekolezea mkaa nyumbani kwake?
 
unaweza kufikishwa polisi kwa kosa na kumtukana jilani yako lakini ukifika polisi wakipekua mafile yao unakutwa kumbe unamakosa ya jinai na walikuwa wanakutafuta kitambo...hahahah
 
Back
Top Bottom