samirnasri
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 1,388
- 213
CCM hofu imewajaa tu chadema hawana lengo la kuiondoa serikali madarakani kwa nguvu bali wanatoa elimu ya uraia kitu ambacho ni kazi moja wapo ya chama cha siasa. Kama wangekua na lengo la kuiondoa serikali madarakani maandamano hayo si yangekua endelevu kwa mikoa yote waliyokwisha pita! Wale wanaofananisha maandamano ya chadema na yale ya misri, tunisia, libya na bahrein ndio wachochezi namba moja.