Namtawaza Katibu Mwenezi Paul Makonda kuwa Mapigo na Mwendo

kipara kipya

JF-Expert Member
May 2, 2016
14,165
16,158
Nikiri tu mwanzo sikumuelewa ndugu Makonda, lakini sasa namuelewa kuliko anavyojielewa. Kwa heshima ya chama na mimi kipara kipya na wanachama wa CCM wote wenye mapenzi mema na nchi na Rais na wananchi kwa ujumla naomba akubali jina hili Mzee wa Mapigo na Mwendo.

Tusimuite tena Makonda ni mzee wa mapigo na mwendo. Yale anayoyatenda kwenye ziara anastahili hili jina. Amewasambaratisha anatatua anapiga huku anasaidia yaani kama Marekani.

BRAVO MAPIGO NA MWENDO.

NB: Mimi sio chawa

Anayebisha alete mdahalo tukutane uchaguzi serikali 2024 tukutane uchaguzi mkuu 2025, CCM ni Mapigo na Mwendo.

Kipara kipya Gunia.
 
MAPIGO NA MWENDO!
 
Attachments

  • 20240208_095823.jpg
    20240208_095823.jpg
    667.8 KB · Views: 2
Nikiri tu mwanzo sikumuelewa ndugu Makonda ,lakini sasa namuelewa kuliko anavyojielewa,kwa heshima ya chama na mimi kipara kipya na wana ccm wote wenye mapenzi mema na nchi na raisi na wananchi kwa ujumla naomba akubali jina hili Mzee wa MAPIGO NA MWENDO,
Tusimuite tena makonda ni mzee wa mapigo na mwendo...

Yale anayoyatenda kwenye ziara anastahili hili jina.
Amewasambaratisha anatatua anapiga huku anasaidia yaani kama marekani.

BRAVO MAPIGO NA MWENDO.

NB:MIMI SIO CHAWA.

Anayebisha alete mdahalo tukutane uchaguzi serikali 2024 tukutane uchaguzi mkuu 2025 CCM NI MAPIGO NA MWENDO!

Kipara kipya Gunia...!

Ila usanii wa kitoto nchi hii hauwezi kuisha. Mwenezi anazunguka na magari ya umma yanatumia zaidi ya 200m@day, halafu anasaidia watu au anaita kutatua KERO kwa kugawa 2m! Halafu watu waliotengeneza hayo maigizo wanalazimisha tuamini kero zinatatuliwa! Wazungu wakituita manyani hawako mbali na ukweli.
 
MAPIGO NA MWENDO!
 
Attachments

  • 20240208_095811.jpg
    20240208_095811.jpg
    636.3 KB · Views: 2
Ila usanii wa kitoto nchi hii hauwezi kuisha. Mwenezi anazunguka na magari ya umma yanatumia zaidi ya 200m@day, halafu anasaidia watu au anaita kutatua KERO kwa kugawa 2m! Halafu watu waliotengeneza hayo maigizo wanalazimisha tuamini kero zinatatuliwa! Wazungu wakituita manyani hawako mbali na ukweli.
Kama ukikubali kutwezwa utu wako na kukubali unyani kuwa nyani Mapigo na mwendo anafanya kazi inayotakikana!
 
Ila usanii wa kitoto nchi hii hauwezi kuisha. Mwenezi anazunguka na magari ya umma yanatumia zaidi ya 200m@day, halafu anasaidia watu au anaita kutatua KERO kwa kugawa 2m! Halafu watu waliotengeneza hayo maigizo wanalazimisha tuamini kero zinatatuliwa! Wazungu wakituita manyani hawako mbali na ukweli.
Hata kama unafikiri ni usanii bali kisiasa ameshafanikiwa na chama chake kiujumla hapa ndipo mnapopigwa gap na CCM
 
Huyoo MAPIGO NA MWENDO
 
Attachments

  • 20240208_095843.jpg
    20240208_095843.jpg
    501.6 KB · Views: 2
Mke wake ndo inapaswa amuite hivyo diyo wewe mtoto wa kiume, ukiulizwa hayo mapigo na mwendo alikupiga wapi?
 
Hata kama unafikiri ni usanii bali kisiasa ameshafanikiwa na chama chake kiujumla hapa ndipo mnapopigwa gap na CCM

Halafu ikifika wakati wa uchaguzi tunashuhudia chaguzi za kihayawani na Wala hizo nyomi za maigizo hamziamini tena!
 
Back
Top Bottom