Dk. Slaa Ajibu Mapigo ya CCM

Rula umevua magwanda lini? Kuna thread kama hii humu ndani mna-miss use distribution!!
Nina tukio la kushukuru lakini utaliona, MOD ataiunganisha unajua unaweza kupost kitu kumbe mwenzako naye ameshapost muda uliopita.
 
kwa wazalendo wa kweli wala hatuhitaji kufika huko kote. Mie naona kama ni hatua ya mbali mno,kuna post moja nimesoma kuwa chadema inapewa za kufanya hayo yanayoendelea na German na chama cha rep cha usa, ivi kwa uzalendo wetu kwanini tusiwaone hawa wadhamini wa chadema kama ni adui yetu? Inasikitisha sana kushabikia vurugu, eti tunasubir Dar, eti sisi tupo nyuma yenu, haya si maneno yakusemwa na mpenda nchi.kwanini rep hawayafanyi hayo marekani? tuache urimbukeni jamani. hiyo pesa bora wangeiwekeza katika majimbo ambayo wameshika na halimashauri zote zilizopo chini ya chama.Slaa hataki kukubali kama njia waliyodanganywa haikuwa nzuri kwahiyo anajibakiza kwenye msimamo. Na kitu slaa alichowin kwa wanacdm ni brain control kiasi kwamba hata akiongea vepa akili ya mwanacdm haiko tayari kupambanua hilo. kwa mfatiliaji wa isue ya libya anaweza pambanua kuwa uongozi ni jaa, pale libya maji ni bure, kusoma bure,umeme bure, ukioa unajengewa nyumba ya vyumba vi3, wananchi ambao wanakuwa hawajapata kazi wanaposho wanalipwa dola500 per day, lakini pamoja na haya yote wananchi wamerubuniwa na marekani na sasa wanaandamana kumtoa, na marekani wamepeleka manowari 3 kwa ajiri ya kumng'oa mbona hawajapeleka Ivory cost? jamani tuache ushabiki wa haya mambo, hapo ugomvi hautokuwa baina ya chama na chama itakuwa ni baiana ya watanzania watupu, je tunahitaji hayo? au je njia hiyo itatuletea mabadiliko tunayohitaji?
 
safi, wanadhani sisi bado ni makondoo, mijitu inakula like guttons halafu tukiwaambia wanajifanya kutishia watu polisi. :spider:
 
Upuuzi huu wanaousema nashindwa kabisa kuwaelewa hv wanadhani ninapokuwa naumia kwa kupanda kwa gharama za maisha na sioni anayelifahamu na kulijali hilo nitafanya nini??????? Huu upuuva siutaki hata kuuusikia kama cdm wangekaaa kimya watu tunge amka tu cku moja na asingetokea wa kutu tuliza washukuru sana cdm imeonesha watu tuna hasira kiasi gani. Na kwa kweli tumechukia kiasi hata maisha yetu tumeyaweka rehani kwa maisha bora ya kizazi kijacho na sio yetu tena.
 
kwa wazalendo wa kweli wala hatuhitaji kufika huko kote. Mie naona kama ni hatua ya mbali mno,kuna post moja nimesoma kuwa chadema inapewa za kufanya hayo yanayoendelea na German na chama cha rep cha usa, ivi kwa uzalendo wetu kwanini tusiwaone hawa wadhamini wa chadema kama ni adui yetu? Inasikitisha sana kushabikia vurugu, eti tunasubir Dar, eti sisi tupo nyuma yenu, haya si maneno yakusemwa na mpenda nchi.kwanini rep hawayafanyi hayo marekani? tuache urimbukeni jamani. hiyo pesa bora wangeiwekeza katika majimbo ambayo wameshika na halimashauri zote zilizopo chini ya chama.Slaa hataki kukubali kama njia waliyodanganywa haikuwa nzuri kwahiyo anajibakiza kwenye msimamo. Na kitu slaa alichowin kwa wanacdm ni brain control kiasi kwamba hata akiongea vepa akili ya mwanacdm haiko tayari kupambanua hilo. kwa mfatiliaji wa isue ya libya anaweza pambanua kuwa uongozi ni jaa, pale libya maji ni bure, kusoma bure,umeme bure, ukioa unajengewa nyumba ya vyumba vi3, wananchi ambao wanakuwa hawajapata kazi wanaposho wanalipwa dola500 per day, lakini pamoja na haya yote wananchi wamerubuniwa na marekani na sasa wanaandamana kumtoa, na marekani wamepeleka manowari 3 kwa ajiri ya kumng'oa mbona hawajapeleka Ivory cost? jamani tuache ushabiki wa haya mambo, hapo ugomvi hautokuwa baina ya chama na chama itakuwa ni baiana ya watanzania watupu, je tunahitaji hayo? au je njia hiyo itatuletea mabadiliko tunayohitaji?
Akili zako ziko M.A.T.A.K.O.N.I.
 
Wee bwana...kuna ubaya gani ukifa ktk harakati za kutafuta haki yako? nchi inaliwa tukiangalia hivihivi? Dowans, Kagoda, IPTL, Deep green, Meremeta, ATC, EPA etc..elimu yetu inaporomoka, kila kukicha shillingi inazidi kupotea huku wao wakila na kusaza kwa jasho la watanzania kutokana na rushwa wanazopata kupitia Mikataba feki, eeh bana eehh acha ifike siku tuumizane kwanza kama Kenya ndio akili zao zitanyooka
 
hakili ni nywele kila mtu anazake! kwa kuwa wapambe wapo Dr slaa atavimba kichwa na kujiona shujaa,haya mshangilieni.

Nobody will take you seriously if you decide to write without checking your spelling.
 
Yes! viongozi wazalendo wanaonekana kwa uchapaji kazi sio vitisho na blaa-blaa!People's power kanyaga twende!
 
kwa wazalendo wa kweli wala hatuhitaji kufika huko kote. Mie naona kama ni hatua ya mbali mno,kuna post moja nimesoma kuwa chadema inapewa za kufanya hayo yanayoendelea na German na chama cha rep cha usa, ivi kwa uzalendo wetu kwanini tusiwaone hawa wadhamini wa chadema kama ni adui yetu? Inasikitisha sana kushabikia vurugu, eti tunasubir Dar, eti sisi tupo nyuma yenu, haya si maneno yakusemwa na mpenda nchi.kwanini rep hawayafanyi hayo marekani? tuache urimbukeni jamani. hiyo pesa bora wangeiwekeza katika majimbo ambayo wameshika na halimashauri zote zilizopo chini ya chama.Slaa hataki kukubali kama njia waliyodanganywa haikuwa nzuri kwahiyo anajibakiza kwenye msimamo. Na kitu slaa alichowin kwa wanacdm ni brain control kiasi kwamba hata akiongea vepa akili ya mwanacdm haiko tayari kupambanua hilo. kwa mfatiliaji wa isue ya libya anaweza pambanua kuwa uongozi ni jaa, pale libya maji ni bure, kusoma bure,umeme bure, ukioa unajengewa nyumba ya vyumba vi3, wananchi ambao wanakuwa hawajapata kazi wanaposho wanalipwa dola500 per day, lakini pamoja na haya yote wananchi wamerubuniwa na marekani na sasa wanaandamana kumtoa, na marekani wamepeleka manowari 3 kwa ajiri ya kumng'oa mbona hawajapeleka Ivory cost? jamani tuache ushabiki wa haya mambo, hapo ugomvi hautokuwa baina ya chama na chama itakuwa ni baiana ya watanzania watupu, je tunahitaji hayo? au je njia hiyo itatuletea mabadiliko tunayohitaji?

hakika huu ubongo umechanganyika na super glue .....
 
Hivi hatua zipi za kuchukuliwa?
Hivi mtu akihoji malipo ja Dowan, ni uchochezi na uhujumu.
Hivi kuficha isue ya meremata sio uhujumu.
Hivi kuinyima Board ya Tanesco ya Tenda kufanya kazi yake sio uhuujumu
Hivi IPTL kuzalisha 10 MW badala ya 100 MW sio uhujumu
Hivi huu mgao unaoendele sio matokeo ya uhujumu
Hive skandali ya epa haitoshi kukifutia chama fulani hivi usajaili.

Kwa mambo ya Tendwa atavuruga nchi.

Kwa mtindo huu maandamo yatazidi sana, hata kama mkiifungia cdm.

Tatizo mmepoteza dira.
 
kwa wazalendo wa kweli wala hatuhitaji kufika huko kote. Mie naona kama ni hatua ya mbali mno,kuna post moja nimesoma kuwa chadema inapewa za kufanya hayo yanayoendelea na German na chama cha rep cha usa, ivi kwa uzalendo wetu kwanini tusiwaone hawa wadhamini wa chadema kama ni adui yetu? Inasikitisha sana kushabikia vurugu, eti tunasubir Dar, eti sisi tupo nyuma yenu, haya si maneno yakusemwa na mpenda nchi.kwanini rep hawayafanyi hayo marekani? tuache urimbukeni jamani. hiyo pesa bora wangeiwekeza katika majimbo ambayo wameshika na halimashauri zote zilizopo chini ya chama.Slaa hataki kukubali kama njia waliyodanganywa haikuwa nzuri kwahiyo anajibakiza kwenye msimamo. Na kitu slaa alichowin kwa wanacdm ni brain control kiasi kwamba hata akiongea vepa akili ya mwanacdm haiko tayari kupambanua hilo. kwa mfatiliaji wa isue ya libya anaweza pambanua kuwa uongozi ni jaa, pale libya maji ni bure, kusoma bure,umeme bure, ukioa unajengewa nyumba ya vyumba vi3, wananchi ambao wanakuwa hawajapata kazi wanaposho wanalipwa dola500 per day, lakini pamoja na haya yote wananchi wamerubuniwa na marekani na sasa wanaandamana kumtoa, na marekani wamepeleka manowari 3 kwa ajiri ya kumng'oa mbona hawajapeleka Ivory cost? jamani tuache ushabiki wa haya mambo, hapo ugomvi hautokuwa baina ya chama na chama itakuwa ni baiana ya watanzania watupu, je tunahitaji hayo? au je njia hiyo itatuletea mabadiliko tunayohitaji?

Kwanza huna ushahidi kwamba CDM wanafadhiliwa na German na US, ungekuwa nao ungeutoa, so huna...na hizo ni bla bla za watoto wa vigogo wezi wa bongo.

Kinacholalamikiwa na wananchi ni wizi wa fedha za umma wa viongozi wa serikali ya CCM; KAGODA, MEREMETA, EPA na sasa wizi na ujangili wa DOWANS. Haya na mengine mengi yanasababisha wananchi wengi waishi maisha ya ufukara wa kutisha, ufukara ambao haulingani na rasilimali mama walizopewa na Mungu.

Kwa muda mrefu wananchi wamevumilia, ila sasa wanasema basi. Kwa wao kusema basi mwenzetu lazima itakukosesha raha kwa sababu mafanikio yako ni pale unapowanyonya masikini hao.

Nakupa taarifa kuwa vuguvugu hili ni mwanzo tu, maadamu CCM wameshindwa kufanya kazi waliyotumwa ni lazima wataondoka tu, na kwa bahati mbaya kama ulihusika kuiba mali za wananchi anza kutia maji kichwani maana ni lazima utanyolewa kwa wembe butu!!
 
kwa wazalendo wa kweli wala hatuhitaji kufika huko kote. Mie naona kama ni hatua ya mbali mno,kuna post moja nimesoma kuwa chadema inapewa za kufanya hayo yanayoendelea na German na chama cha rep cha usa, ivi kwa uzalendo wetu kwanini tusiwaone hawa wadhamini wa chadema kama ni adui yetu? Inasikitisha sana kushabikia vurugu, eti tunasubir Dar, eti sisi tupo nyuma yenu, haya si maneno yakusemwa na mpenda nchi.kwanini rep hawayafanyi hayo marekani? tuache urimbukeni jamani. hiyo pesa bora wangeiwekeza katika majimbo ambayo wameshika na halimashauri zote zilizopo chini ya chama.Slaa hataki kukubali kama njia waliyodanganywa haikuwa nzuri kwahiyo anajibakiza kwenye msimamo. Na kitu slaa alichowin kwa wanacdm ni brain control kiasi kwamba hata akiongea vepa akili ya mwanacdm haiko tayari kupambanua hilo. kwa mfatiliaji wa isue ya libya anaweza pambanua kuwa uongozi ni jaa, pale libya maji ni bure, kusoma bure,umeme bure, ukioa unajengewa nyumba ya vyumba vi3, wananchi ambao wanakuwa hawajapata kazi wanaposho wanalipwa dola500 per day, lakini pamoja na haya yote wananchi wamerubuniwa na marekani na sasa wanaandamana kumtoa, na marekani wamepeleka manowari 3 kwa ajiri ya kumng'oa mbona hawajapeleka Ivory cost? jamani tuache ushabiki wa haya mambo, hapo ugomvi hautokuwa baina ya chama na chama itakuwa ni baiana ya watanzania watupu, je tunahitaji hayo? au je njia hiyo itatuletea mabadiliko tunayohitaji?
Bila shaka utakuwa umetumwa ili kuvuruga mawazo ya watu waache kudai haki zao,au,mwana propaganda,,au kada wa kijani unaejaribu kuokoa jahazi kwa inapropriate facts...mpango mzima hapa ni Gharama za maisha kuwa juuu na Suala la Dowans basi,,Mh. Sumaye kawaambia mnatakiwa kujibu hoja sio kuleta uzushi,,mbona mnakuwa vichwa ngumu???? mtakoma mwaka huu
 
Tendwa angeanza na chama kilichotumia pesa za uma (Wizi wa EPA, Kuchapisha machapisho ya kampeni kwa pesa za umma (Ikulu), kutumia magarin ya serikali kwenye kampeni) kuchakachua matokeo ya uchaguzi then aje kwa CDM aende huko ndio maana aliwahi kuitwa Karani wa kuandikisha vyama na Makamba.
 
Dr slaa rais wetu wa moyoni,,hadi kieleweke,,ni wajibu wa serikali kuboresha maisha ya watu kinyume chake ni kupoteza uhalali wa kutawala,,,peoples power forever
 
Kelele zote hizi kutoka kwa wasemaji mbalimbali zimeibuka mara Kikwete alipotoa hotuba yake. Hapa napata mfano mmoja. Katika sehemu zenye mbwa, mbwa mmoja akihisi kuna hatari, akianza kubweka, wote wanaanza kubweka, hasa wale waoga na vile vi puppy, hata kama hawajui chanzao cha hatari ni nini. Huo ni mfano tu na wala hauna uhusiaono wowote na binadamu, naomba nieleweke.

Inasikitisha, kuona kuwa viongozi wa ccm wote wanaitikia hiyo kauli kuwa chama cha upinzani kuelezea chanzo cha matatizo ya wananchi, ni uhaini. Ina maana kuwa ccm haitaki kukosolewa? Hivi maana ya chama cha upinzani ni nini. Hakika sio kupigia debe chama tawala, bali ni kukaa macho siku zote na kuangalia nienendo ya chama tawala serikali. Inatakiwa viongozi wa ccm wawe makini kwa kujua wajibu wao na kuweza kuijibu Chadema ni jinsi gani wanafanya juhudi kuboresha maisha ya wananchi. Hiyo ndiyo siasa ya ushindani. Kejeli na vitisho ni siasa za udikteta ambazo kwa sasa hazitafanya kazi Tanzania. Haya, tunasubiri kwa hamu wawakamate viongozi wa Chadema.
 
Back
Top Bottom