acha kumdanganya dogo pale hizo gpa ni kwa sababu mnameza sana ila technical fitness hamna kitu kabisa..kuna jamaa sec year kapata gpa 4.9 computer eng ila hata kuformat computer hajui kabisa mda mwingi watoto wa coict utawakuta facebook na kusoma ila mfumo wao mbovu,dogo uamuzi ni wako maisha ni yako fanya uamuzi sahihi.
hujui unalolisema. Jaribu kufuatilia kwa nini airtel na voda wana fight kuyapata majembe ya telecom udsm