DIT VS COeT, UDSM!

yeah,i read about it in dit web page kuwa kuna hadi fibre optic!But kaka,vp kuhusu vifaa katika course za telecom na comp?vpo vya kutosha?Je wanafunzi wakitoka hapo kiajira ni vipi?i mean kuingia katika compttn na waliotoka othr instt!Wanapromotion kwa wanaofanya vizur?
Mkuu hiyo inategemeana na mwajili, kama ni mashirika ya UMMA/Serikali watapendelea wahitimu wa UDSM hii ni kasumba iliyo jengeka toka siku nyingi, lakini makampuni ya wawekezaji i.e private Companies will always go 4 DIT graduates I can tell you! Miaka ya nyuma kuna wanafunzi wa IT kutoka UDSM waliwahi kuja kazini kwangu, lecturer wao mzungu aliwakabithi kwangu 4 hand on experience katika nyanja za IT mabo niliyo shuhudia sina hamu tena - niliwambia kwamba kama mambo yenyewe ndio hayo no wonder wawekezaji uhamua kuja na wataalamu wao na hakuna ambaye anaweza kuwalaamu mambo mengi hawayaelewi, nayasema haya kwa nia nzuri sio kwamba nataka kukandia chuo fulani lahasha - tuwe wakweli katika mambo ya IT - UDSM inapashwa kufanya a radical change the soonest, labda niongezee hapa kwamba miaka imekwisha pita tangu nikae nao, I hope wamekwisha rekebisha mambo kadri miaka inavyo kwenda - nasame I hope.
 
UDSM inazidiwa course nyingi sana kama accounting na engineering. DIT is far much better than CoET. Mnalinganisha mlima na kichuguu.
 
UDSM wakikutana na DIT wanakuwa wapoooole...ngoja wakutane na UDOM,TEK,TIA,MUCCOBS..mwe!mwe!mwe! hizo kelele chacha!
 
naona vilaza siku zote hawajiamini.. Mti mwema siku zote ndo hupigwa mawe, kwanini msijilinganishe na vyuo vingine ni Udsm tu, Thats mean Udsm is of great attitude .
 
acha kukishusha DIT wewe,sababu ya udsm kuwa kwenye hiyo nafasi ingawa si za kweli kwa upande wa kidunia ni lugha ya kiswahili kwa kutoa machapisho mengi ila dit kwa upande wa uhandisi Tanzania kiko juu source barrick,geita na north mara mining companies.

Hapo una data batili mkuu barrick wako interested hasa na vijana wa coet pia angalia sasa kwenye oil and gas watoto wa DIT wanapewa level ndogo ndogo but vijana wa Coet wanakula shavu DIT watasubili sana kwa Coet
 
Back
Top Bottom