DIT VS COeT, UDSM!

dogo kuhusu ajira za hizo course ni bilabila hakuna kitu,sema kama unataka kufulfill dreamz zako we soma tu ila nafasi za tele ndo zimekwisha kabisa,na kuhusu ajira za comp eng lazima uwe na certification kama Cisco na CCNA,bila hizi bench linakusubir kitaa labda ujiajiri.

kwa hyo koz gan ni nzur kwa eng?
 
ua ryt kaka bt kumbuka dit ni kama college,i mean unaweza ukalinganisha na coet udsm na wanatoa koz za uhandisi wote bt ukitaka kuongelea udsm huwez linganisha na dit..udsm ni chuo cha 15 africa na 1032 dunia bt dit haimo kabisa!
Interest yang ni ktk koz za uhandis nchni c udsm kama udsm datz y nkamention coet tu!

acha kukishusha DIT wewe,sababu ya udsm kuwa kwenye hiyo nafasi ingawa si za kweli kwa upande wa kidunia ni lugha ya kiswahili kwa kutoa machapisho mengi ila dit kwa upande wa uhandisi Tanzania kiko juu source barrick,geita na north mara mining companies.
 
wapi ni pazuri kwa kusomea na usanifu katika kozi za uhandisi(Engineering)?
I mean mwanafunz akitoka anakuwa compitent!
Mostly kwa kozi za COMPUTER ENG and ELECTRONICS & TELECOM ENG for dit and COMP N IT ENG & TELECOM ENG for udsm,coet?

muomba ushauri unajua tofauti ya BSC NA BENG ..?

WAULIZE NI MALECTURER GANI WANAFUNDISHA PART TIME KATI YA UD NA DIT . MAANA NI NINAVYOFAHAMU MIMI MY LECTURER WENGI WALIKUWA WANAENDA KUFUNDISHA DIT PART TIME.

UNAFAHAMU MAANA YA ELECTRONICS AND TELECOMS ENG . NA TELECOMS ENG. USIANGALIE USHABIKI JUA CONTENT YA KOZI . UNAFAHAMU BENG HAPO DIT WAMEANZA KUTOA LINI NA KWANINI?

UNAFAHAMU MADHUMUNI YA KUANZISHWA KWA VYUO KAMA HIYO DIT , MIST NA ATC...?

SASA NIKIJA KWENYE SUALA LAKO LA HIYO KOZI MIMI NIMESOMA MLIMANI UMEME, ELECTRONICS, COMMUNICATIONS, SOFTWARE, IT AND COMPUTER ENGINEERING FIELD INAKUWA KWA KASI SANA KUTOKANA MABADILIKO YA KITEKNOLOJIA. SASA TENA MITAALA YA VYUO VYETU VINGI HAIENDI NA WAKATI HASA KWA KOZI HIZI NILIZOTAJA . CHA MSINGI ANGALIA BACKGROUND YAKO KAMA UMETOKA HIVI VYUO VYA UFUNDI BORA UENDELE NAVYO NA KAMA UMETOKA A LEVEL PITA MFUMO HUU WA UNIVERSITY MAANA NDIO UNAWEZA KUCORP NAO, PIA ITATEGEMEA NA MADHUMUNI YAKO UNATAKA KUWA NANI MBELE YA SAFARI NA UTAKA NINI?

HIVI MTU ANAYEFANYA BENG YA EVENING HAPO DIT UNAWEZA MFANANISHA NA MTU WA MLIMANI KWELI ?

TELECOMS INDUSTRY KIBONGO INAONEKANA IMESATURATE SASA JIPANGE..
 
acha kukishusha DIT wewe,sababu ya udsm kuwa kwenye hiyo nafasi ingawa si za kweli kwa upande wa kidunia ni lugha ya kiswahili kwa kutoa machapisho mengi ila dit kwa upande wa uhandisi Tanzania kiko juu source barrick,geita na north mara mining companies.

ndio kaka!
Ud ni 1370 dunia mwaka 2011,nlicheck vbya!
Thanx 4ua advce!
 
muomba ushauri unajua tofauti ya BSC NA BENG ..?

WAULIZE NI MALECTURER GANI WANAFUNDISHA PART TIME KATI YA UD NA DIT . MAANA NI NINAVYOFAHAMU MIMI MY LECTURER WENGI WALIKUWA WANAENDA KUFUNDISHA DIT PART TIME.

UNAFAHAMU MAANA YA ELECTRONICS AND TELECOMS ENG . NA TELECOMS ENG. USIANGALIE USHABIKI JUA CONTENT YA KOZI . UNAFAHAMU BENG HAPO DIT WAMEANZA KUTOA LINI NA KWANINI?

UNAFAHAMU MADHUMUNI YA KUANZISHWA KWA VYUO KAMA HIYO DIT , MIST NA ATC...?

SASA NIKIJA KWENYE SUALA LAKO LA HIYO KOZI MIMI NIMESOMA MLIMANI UMEME, ELECTRONICS, COMMUNICATIONS, SOFTWARE, IT AND COMPUTER ENGINEERING FIELD INAKUWA KWA KASI SANA KUTOKANA MABADILIKO YA KITEKNOLOJIA. SASA TENA MITAALA YA VYUO VYETU VINGI HAIENDI NA WAKATI HASA KWA KOZI HIZI NILIZOTAJA . CHA MSINGI ANGALIA BACKGROUND YAKO KAMA UMETOKA HIVI VYUO VYA UFUNDI BORA UENDELE NAVYO NA KAMA UMETOKA A LEVEL PITA MFUMO HUU WA UNIVERSITY MAANA NDIO UNAWEZA KUCORP NAO, PIA ITATEGEMEA NA MADHUMUNI YAKO UNATAKA KUWA NANI MBELE YA SAFARI NA UTAKA NINI?

HIVI MTU ANAYEFANYA BENG YA EVENING HAPO DIT UNAWEZA MFANANISHA NA MTU WA MLIMANI KWELI ?

TELECOMS INDUSTRY KIBONGO INAONEKANA IMESATURATE SASA JIPANGE..
asante sana kaka!
Umenifumbua sana kichwa!
Me nasoma telecom nta5 atc na napenda kuunganisha either comp eng o telecom eng!
Nlishauriwa ud pazur bt mawazo yng yalikuwa dit!
4hw umenipanua kchwa i wil work on t!
God blec u!
 
mdogo wangu hata kama umetoka Atc na unapendelea kwenda Udsm ni vizuri sana haina ulazima sana kuendelea na dit or mist, kuna jamaa wawili walitoka Atc nili graduate nao electro-mechanical engineering pale Coet japo walisoma electrical(atc) na ufaulu wao ulikua mzuri sana(GPA) kutuzidi sisi fresh from form six, mlimani utajifunza mengi zaidi na zaidi.pia mambo ya Ict i mean telecom eng, comp eng and inf tech hatipo tena coet zipo CoICT.
 
d.i.t. Kaka,trust me,ud ni jina tu,may b law wanatoa wa2 cmptent bt not eng.

Mkuu hapo unakosea ukisema UD ni jina tu, kwanza hapo mnashindanisha program mbili tofauti DIT wanatoa bachelor of Engineering wakati UD wanatoa bachelor of Science in.................engineering, pia mwanzisha uzi anatakiwa aseme ni compitence ipi anayoimaanisha,

Nawasilisha...
 
mdogo wangu hata kama umetoka Atc na unapendelea kwenda Udsm ni vizuri sana haina ulazima sana kuendelea na dit or mist, kuna jamaa wawili walitoka Atc nili graduate now electro-mechanical engineering pale Coet japo walisoma electrical(atc) na ufaulu wao ulikua mzuri sana(GPA) kutuzidi sisi fresh from form six, mlimani utajifunza mengi zaidi na zaidi.

acha kumdanganya dogo pale hizo gpa ni kwa sababu mnameza sana ila technical fitness hamna kitu kabisa..kuna jamaa sec year kapata gpa 4.9 computer eng ila hata kuformat computer hajui kabisa mda mwingi watoto wa coict utawakuta facebook na kusoma ila mfumo wao mbovu,dogo uamuzi ni wako maisha ni yako fanya uamuzi sahihi.
 
nani anampotosha mwenzake kati yako na huyo jamaa .
Huo mfumo unaozungumzia hapo mlimani wewe ulishawahi pita au ni hadithi za mtaani?
nisamehe lakini hebu jaribu kujiuliza ili swali kwa nini cream ina coet nasi vinginevyo?
jitahidi kumuelekeza dogo kwa kumpaa faida na hasara(ushauri wenye maana) sio kuponda haitawasaidia chochote
 
thanx kaka,hop upo ud!
telecom nlickia wanataka kureduce miaka toka 4 kuwa 3yr program,ya kwel hayo kaka?

ni kweli na jamaa hawako coet ndo maana mgomo wa coet mwaka huu uliofukuzisha coet wote,watu wa telecom hawakuhusishwa na mgomo huo.
 
yeah,i read about it in dit web page kuwa kuna hadi fibre optic!
But kaka,vp kuhusu vifaa katika course za telecom na comp?vpo vya kutosha?
Je wanafunzi wakitoka hapo kiajira ni vipi?i mean kuingia katika compttn na waliotoka othr instt!
Wanapromotion kwa wanaofanya vizur?
sorry for late reply but kiajira competence na knowledge wewe unaonaje?DIT ni more marketable than UDSM hata kwenye IPT tulikuwa juu zaidi kuhusu electronics wako fiti coz ni moja kati ya fani za zamani.
 
Hahahahaaaaaaaa! Sasa naanza kuamini kuwa 'akili za 'engineers' wote huwa hazina tofauti'.
 
muomba ushauri unajua tofauti ya BSC NA BENG ..?

WAULIZE NI MALECTURER GANI WANAFUNDISHA PART TIME KATI YA UD NA DIT . MAANA NI NINAVYOFAHAMU MIMI MY LECTURER WENGI WALIKUWA WANAENDA KUFUNDISHA DIT PART TIME.

UNAFAHAMU MAANA YA ELECTRONICS AND TELECOMS ENG . NA TELECOMS ENG. USIANGALIE USHABIKI JUA CONTENT YA KOZI . UNAFAHAMU BENG HAPO DIT WAMEANZA KUTOA LINI NA KWANINI?

UNAFAHAMU MADHUMUNI YA KUANZISHWA KWA VYUO KAMA HIYO DIT , MIST NA ATC...?

SASA NIKIJA KWENYE SUALA LAKO LA HIYO KOZI MIMI NIMESOMA MLIMANI UMEME, ELECTRONICS, COMMUNICATIONS, SOFTWARE, IT AND COMPUTER ENGINEERING FIELD INAKUWA KWA KASI SANA KUTOKANA MABADILIKO YA KITEKNOLOJIA. SASA TENA MITAALA YA VYUO VYETU VINGI HAIENDI NA WAKATI HASA KWA KOZI HIZI NILIZOTAJA . CHA MSINGI ANGALIA BACKGROUND YAKO KAMA UMETOKA HIVI VYUO VYA UFUNDI BORA UENDELE NAVYO NA KAMA UMETOKA A LEVEL PITA MFUMO HUU WA UNIVERSITY MAANA NDIO UNAWEZA KUCORP NAO, PIA ITATEGEMEA NA MADHUMUNI YAKO UNATAKA KUWA NANI MBELE YA SAFARI NA UTAKA NINI?

HIVI MTU ANAYEFANYA BENG YA EVENING HAPO DIT UNAWEZA MFANANISHA NA MTU WA MLIMANI KWELI ?

TELECOMS INDUSTRY KIBONGO INAONEKANA IMESATURATE SASA JIPANGE..

tunahitaji watu wa jinsi hii, siyo mtu unavutia tu kwako, ilimradi uonekane uko pazuri, hatuendi hivyo. ASANTE SANA KWA KUSHAURI WADOGO ZETU. THANKS MUCH
 
ua ryt kaka!
But kama ua brain work properly n upo sehemu properly u wil mst prply!
Hapa kama kuna longolongo nyingi. DIT na UD zilianzishwa zikiwa na malengo yake. Sasa naona kama kuna watu wanafikiri wale wahandisi wa UD kazi yao i kufanya trouble shooting ya bajaji mitaani. Kweli hakuna jinsi ya kuwasaidia watu hao....wakae hivyo hivyo
 
Back
Top Bottom