DIT VS COeT, UDSM!

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Sir_Finus, Oct 13, 2011.

 1. Sir_Finus

  Sir_Finus JF-Expert Member

  #1
  Oct 13, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 146
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 16
  wapi ni pazuri kwa kusomea na usanifu katika kozi za uhandisi(Engineering)?
  I mean mwanafunz akitoka anakuwa compitent!
  Mostly kwa kozi za COMPUTER ENG and ELECTRONICS & TELECOM ENG for dit and COMP N IT ENG & TELECOM ENG for udsm,coet?
   
 2. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #2
  Oct 13, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 39,097
  Likes Received: 342
  Trophy Points: 83
  Mkuu unaulizia penye mshahara mzuri au kwenye majengo yenye mvuto?

  Raha ya kazi mshahara bana! Pesa sabuni ya roho!
   
 3. Sir_Finus

  Sir_Finus JF-Expert Member

  #3
  Oct 13, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 146
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 16
  sor mkuu,nilikosea bt nimeshairekebisha!
  Isome tena!
   
 4. Junior. Cux

  Junior. Cux JF-Expert Member

  #4
  Oct 13, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 4,761
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 63
  hizo course ulizozitaja hapa ud hazitolewi na CoET sa hizi kuna CoICT, its the new college.. bak 2 d topc, ud stil wako juu.!!!
   
 5. Sir_Finus

  Sir_Finus JF-Expert Member

  #5
  Oct 13, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 146
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 16
  thanx kaka,hop upo ud!
  telecom nlickia wanataka kureduce miaka toka 4 kuwa 3yr program,ya kwel hayo kaka?
   
 6. Apollo

  Apollo JF-Expert Member

  #6
  Oct 13, 2011
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 3,883
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Ud papo juu siku zote.
   
 7. Mu-sir

  Mu-sir JF-Expert Member

  #7
  Oct 13, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 3,252
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 48
  I'm a graduate from DIT nakushauri upime mwenyewe coz UD ni knowledge based trainings while DIT is competence based trainings and furthermore DIT is a centre of super computing. Umenipata kaka? Kazi ni kwako.
   
 8. The Magnificent

  The Magnificent JF-Expert Member

  #8
  Oct 13, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 2,603
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 38
  d.i.t. Kaka,trust me,ud ni jina tu,may b law wanatoa wa2 cmptent bt not eng.
   
 9. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #9
  Oct 13, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 10,233
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 63
  Nakushauri sana DIT ni kuzuri zaidi.
   
 10. HAMY-D

  HAMY-D JF-Expert Member

  #10
  Oct 14, 2011
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 6,546
  Likes Received: 261
  Trophy Points: 83
  Kaka wewe nenda DIT na msije mkadanganywa na yeyote UDSM kuna elimu ya engineering pale ni law tu hakuna course nyingine bora fanya ukapate elimu DIT.
   
 11. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #11
  Oct 14, 2011
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 11,358
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 38
  In the end its the brain of the individual. Naona watu wanayapima maji yenye kina kwa kuangalia kwa macho.
   
 12. Sir_Finus

  Sir_Finus JF-Expert Member

  #12
  Oct 14, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 146
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 16
  thanx kaka!
  Evry1,knw that!
  But what about that two courses i mention there?
   
 13. Sir_Finus

  Sir_Finus JF-Expert Member

  #13
  Oct 14, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 146
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 16
  yeah,i read about it in dit web page kuwa kuna hadi fibre optic!
  But kaka,vp kuhusu vifaa katika course za telecom na comp?vpo vya kutosha?
  Je wanafunzi wakitoka hapo kiajira ni vipi?i mean kuingia katika compttn na waliotoka othr instt!
  Wanapromotion kwa wanaofanya vizur?
   
 14. Sir_Finus

  Sir_Finus JF-Expert Member

  #14
  Oct 14, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 146
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 16
  thanx!
   
 15. Sir_Finus

  Sir_Finus JF-Expert Member

  #15
  Oct 14, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 146
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 16
  thanx!
  Umesoma dit?
   
 16. Sir_Finus

  Sir_Finus JF-Expert Member

  #16
  Oct 14, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 146
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 16
  kaka,umesoma dit?
   
 17. Sir_Finus

  Sir_Finus JF-Expert Member

  #17
  Oct 14, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 146
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 16
  ua ryt kaka!
  But kama ua brain work properly n upo sehemu properly u wil mst prply!
   
 18. HAMY-D

  HAMY-D JF-Expert Member

  #18
  Oct 14, 2011
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 6,546
  Likes Received: 261
  Trophy Points: 83
  dogo kuhusu ajira za hizo course ni bilabila hakuna kitu,sema kama unataka kufulfill dreamz zako we soma tu ila nafasi za tele ndo zimekwisha kabisa,na kuhusu ajira za comp eng lazima uwe na certification kama Cisco na CCNA,bila hizi bench linakusubir kitaa labda ujiajiri.
   
 19. R

  Rweye JF-Expert Member

  #19
  Oct 14, 2011
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 10,574
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 48
  Heading iwe hivi DIT Vs UDSM(CoET)...ie CoET ni sehemu ya Udsm na unapoongelea Udsm unamaanisha IJMC,CoET,MUCE,Main CAMPUS&DUCE...mind it.
   
 20. Sir_Finus

  Sir_Finus JF-Expert Member

  #20
  Oct 14, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 146
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 16
  ua ryt kaka bt kumbuka dit ni kama college,i mean unaweza ukalinganisha na coet udsm na wanatoa koz za uhandisi wote bt ukitaka kuongelea udsm huwez linganisha na dit..udsm ni chuo cha 15 africa na 1032 dunia bt dit haimo kabisa!
  Interest yang ni ktk koz za uhandis nchni c udsm kama udsm datz y nkamention coet tu!
   
 21. Sir_Finus

  Sir_Finus JF-Expert Member

  #21
  Oct 14, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 146
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 16
  kwa hyo koz gan ni nzur kwa eng?
   
 22. The Magnificent

  The Magnificent JF-Expert Member

  #22
  Oct 14, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 2,603
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 38
  no! Cjasoma pale mkuu,kuna washkaj zangu wamegraduate pale mwaka huu,civil&mech. Wapo kwnye ajira tayari,
   
 23. HAMY-D

  HAMY-D JF-Expert Member

  #23
  Oct 14, 2011
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 6,546
  Likes Received: 261
  Trophy Points: 83
  acha kukishusha DIT wewe,sababu ya udsm kuwa kwenye hiyo nafasi ingawa si za kweli kwa upande wa kidunia ni lugha ya kiswahili kwa kutoa machapisho mengi ila dit kwa upande wa uhandisi Tanzania kiko juu source barrick,geita na north mara mining companies.
   
 24. Maganga Mkweli

  Maganga Mkweli JF-Expert Member

  #24
  Oct 14, 2011
  Joined: Jul 14, 2009
  Messages: 2,039
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 38
  muomba ushauri unajua tofauti ya BSC NA BENG ..?

  WAULIZE NI MALECTURER GANI WANAFUNDISHA PART TIME KATI YA UD NA DIT . MAANA NI NINAVYOFAHAMU MIMI MY LECTURER WENGI WALIKUWA WANAENDA KUFUNDISHA DIT PART TIME.

  UNAFAHAMU MAANA YA ELECTRONICS AND TELECOMS ENG . NA TELECOMS ENG. USIANGALIE USHABIKI JUA CONTENT YA KOZI . UNAFAHAMU BENG HAPO DIT WAMEANZA KUTOA LINI NA KWANINI?

  UNAFAHAMU MADHUMUNI YA KUANZISHWA KWA VYUO KAMA HIYO DIT , MIST NA ATC...?

  SASA NIKIJA KWENYE SUALA LAKO LA HIYO KOZI MIMI NIMESOMA MLIMANI UMEME, ELECTRONICS, COMMUNICATIONS, SOFTWARE, IT AND COMPUTER ENGINEERING FIELD INAKUWA KWA KASI SANA KUTOKANA MABADILIKO YA KITEKNOLOJIA. SASA TENA MITAALA YA VYUO VYETU VINGI HAIENDI NA WAKATI HASA KWA KOZI HIZI NILIZOTAJA . CHA MSINGI ANGALIA BACKGROUND YAKO KAMA UMETOKA HIVI VYUO VYA UFUNDI BORA UENDELE NAVYO NA KAMA UMETOKA A LEVEL PITA MFUMO HUU WA UNIVERSITY MAANA NDIO UNAWEZA KUCORP NAO, PIA ITATEGEMEA NA MADHUMUNI YAKO UNATAKA KUWA NANI MBELE YA SAFARI NA UTAKA NINI?

  HIVI MTU ANAYEFANYA BENG YA EVENING HAPO DIT UNAWEZA MFANANISHA NA MTU WA MLIMANI KWELI ?

  TELECOMS INDUSTRY KIBONGO INAONEKANA IMESATURATE SASA JIPANGE..
   
 25. Sir_Finus

  Sir_Finus JF-Expert Member

  #25
  Oct 14, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 146
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 16
  ndio kaka!
  Ud ni 1370 dunia mwaka 2011,nlicheck vbya!
  Thanx 4ua advce!
   
 26. Sir_Finus

  Sir_Finus JF-Expert Member

  #26
  Oct 14, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 146
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 16
  asante sana kaka!
  Umenifumbua sana kichwa!
  Me nasoma telecom nta5 atc na napenda kuunganisha either comp eng o telecom eng!
  Nlishauriwa ud pazur bt mawazo yng yalikuwa dit!
  4hw umenipanua kchwa i wil work on t!
  God blec u!
   
 27. G

  GHANI JF-Expert Member

  #27
  Oct 14, 2011
  Joined: Feb 18, 2011
  Messages: 668
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mdogo wangu hata kama umetoka Atc na unapendelea kwenda Udsm ni vizuri sana haina ulazima sana kuendelea na dit or mist, kuna jamaa wawili walitoka Atc nili graduate nao electro-mechanical engineering pale Coet japo walisoma electrical(atc) na ufaulu wao ulikua mzuri sana(GPA) kutuzidi sisi fresh from form six, mlimani utajifunza mengi zaidi na zaidi.pia mambo ya Ict i mean telecom eng, comp eng and inf tech hatipo tena coet zipo CoICT.
   
 28. Mr Suggestion

  Mr Suggestion JF-Expert Member

  #28
  Oct 14, 2011
  Joined: May 2, 2011
  Messages: 544
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 28
  Mkuu hapo unakosea ukisema UD ni jina tu, kwanza hapo mnashindanisha program mbili tofauti DIT wanatoa bachelor of Engineering wakati UD wanatoa bachelor of Science in.................engineering, pia mwanzisha uzi anatakiwa aseme ni compitence ipi anayoimaanisha,


  Nawasilisha...
   
 29. HAMY-D

  HAMY-D JF-Expert Member

  #29
  Oct 14, 2011
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 6,546
  Likes Received: 261
  Trophy Points: 83
  acha kumdanganya dogo pale hizo gpa ni kwa sababu mnameza sana ila technical fitness hamna kitu kabisa..kuna jamaa sec year kapata gpa 4.9 computer eng ila hata kuformat computer hajui kabisa mda mwingi watoto wa coict utawakuta facebook na kusoma ila mfumo wao mbovu,dogo uamuzi ni wako maisha ni yako fanya uamuzi sahihi.
   
 30. HAMY-D

  HAMY-D JF-Expert Member

  #30
  Oct 14, 2011
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 6,546
  Likes Received: 261
  Trophy Points: 83
  coz za ukweli ni electrical,mechanical,chemical processing,industrial eng.
   

Share This Page