SIERA
JF-Expert Member
- Apr 11, 2011
- 2,780
- 3,403
Tuko hapa kujadili mkuu, so kukujibu ni sehemu ya mjadala
Wenae huna evidence aaaahaaaa sasa tukuamini wewe ama source magazine ...
Tuko hapa kujadili mkuu, so kukujibu ni sehemu ya mjadala
This is not a court room!! Siwezi kukuletea documents au mikataba.. Hapa tuna argue kwa factsWenae huna evidence aaaahaaaa sasa tukuamini wewe ama source magazine ...
Kiluuj@the_bold, naomba unipe tofauti kati ya deal za wafuatao.
1. Keko, Redsan, D'banji, Rose muhando na kadhalika.
2. Ali Kiba, na Davido .
*Maana ninavyojua kundi la kwanza lilisign na Sony music entertainment AFRICA. Ilhali la pili limesign na Sony Music Entertainment global.
Note.
'Ali kiba becomes the second African artist to sign a globa music deal with Sony Music...'
www.thesource.com/2016/05/19/alikiba....
Una hamu ya kukojo....zwaKuna watu mko very insecure mtaani mpaka huku kwenye mitandao!!
Sasa hapa mambo ya kuendesha maisha yako/yangu yanajusikaje????
Tuko JamiiForums kwa ajili ya mijadala, kama hutaki mijadala unafanya nini humu??
Basi roho yako hapo mwenyewe iko kwatu coz hatimaye na wewe umejua kutukana humu JFUna hamu ya kukojo....zwa
AlooooooMtakufa na vijiba vya roho,
Dume zima unakaa chini kumsimanga kijana wa watu anayesaka tonge kwa jasho lake,
Hovyooooo,
Jiangalie kwanza yako wewe yamekuishia?
Sio wajitutumua kama chura wa mtoni kutaka kumvunja moyo mwenzio,
Kama imekuuma sana saga chupa....
#GoKibaGo#
Kumbe wewe akili yako ni maandazi kabisa, sasa kama amesaini na Sony global kuna shida gani single yake kuwa released na Sony Africa wakati ni hili ni tawi lao na msanii ni kutoka Africa? Wewe ni hewa kabisa.Kiluuj
Hebu naomba tuongee kuhusu kama deal ni global au ni africa pekee! Hiyo ishu amesini na subsidiary ipi hilo suala liko wazi, amesaini chini ya Sony Music Africa.. Hebu pitia vizuri hiyo link uliyoiweka inaeleza hilo suala
Wewe mwenye akili nyingi hujui hata a simple fact hakuna kampuni inayoitwa 'Sony global' bali kuna kampuni inayoitwa Sony music BMG na Ali hajasaini huko Davido pekee ndio amesaini Sony Music BMG (global brand)!! Ali amesaini Sony Music Africa... Na uelewe kuwa huwezi kusaini Sony Music BMG alafu mziki wako usambazwe na Sony Music Africa ungejua ishu za mikataba na entertainmen industry ungenielewa.. Sony Music Africa sio tawi, ni kampuni tanzu..Kumbe wewe akili yako ni maandazi kabisa, sasa kama amesaini na Sony global kuna shida gani single yake kuwa released na Sony Africa wakati ni hili ni tawi lao na msanii ni kutoka Africa? Wewe ni hewa kabisa.
Acha uongo ndugu ni branch....sony africa ni branch la sony worldwide ambalo linaashughulikia africa pekee....ali amekuwa chini ya rocksrar4000 ambayo ipo chini ya sony africa kitamboWewe mwenye akili nyingi hujui hata a simple fact hakuna kampuni inayoitwa 'Sony global' bali kuna kampuni inayoitwa Sony music BMG na Ali hajasaini huko Davido pekee ndio amesaini Sony Music BMG (global brand)!! Ali amesaini Sony Music Africa... Na uelewe kuwa huwezi kusaini Sony Music BMG alafu mziki wako usambazwe na Sony Music Africa ungejua ishu za mikataba na entertainmen industry ungenielewa.. Sony Music Africa sio tawi, ni kampuni tanzu..
Haya tukana tusi jingine
Elewa kwanza maana ya kampuni tanzu ndio uje hapa kutoka povu!! Kuna kitu kinaitwa 'branch' na kuna kitu kinaitwa 'subsidiary company'!! Sony Music Africa ni 'subsidiary company' ya Sony Music BMG sio 'branch'..Acha uongo ndugu ni branch....sony africa ni branch la sony worldwide ambalo linaashughulikia africa pekee....ali amekuwa chini ya rocksrar4000 ambayo ipo chini ya sony africa kitambo
Kwa hiyo ndugu yangu unataka kusema office zote za sony nchi nyingine ni subsidiary only ya america ndio yao???lol....Elewa kwanza maana ya kampuni tanzu ndio uje hapa kutoka povu!! Kuna kitu kinaitwa 'branch' na kuna kitu kinaitwa 'subsidiary company'!! Sony Music Africa ni 'subsidiary company' ya Sony Music BMG sio 'branch'..
Duh! Naona mashikoromageni, huelewi ninachozungumza wala unacho zungumza mwenyewe.. Have a nice day mkuuKwa hiyo ndugu yangu unataka kusema office zote za sony nchi nyingine ni subsidiary only ya america ndio yao???lol....
Tatizo kubwa watz sisi tunataka kujifanya tunajua katika mambo ambayo hata hatuyajui.....have a nice day too n go do ur homework....Duh! Naona mashikoromageni, huelewi ninachozungumza wala unacho zungumza mwenyewe.. Have a nice day mkuu
Duh! Naona mashikoromageni, huelewi ninachozungumza wala unacho zungumza mwenyewe.. Have a nice day mkuu
Cheki ilo povu sasa!! Sawa kiongozi, siku njemaTatizo kubwa watz sisi tunataka kujifanya tunajua katika mambo ambayo hata hatuyajui.....have a nice day too n go do ur homework....
Katika post yangu namba Saba(7), nilikutahadharisha mkuu.Wewe mwenye akili nyingi hujui hata a simple fact hakuna kampuni inayoitwa 'Sony global' bali kuna kampuni inayoitwa Sony music BMG na Ali hajasaini huko Davido pekee ndio amesaini Sony Music BMG (global brand)!! Ali amesaini Sony Music Africa... Na uelewe kuwa huwezi kusaini Sony Music BMG alafu mziki wako usambazwe na Sony Music Africa ungejua ishu za mikataba na entertainmen industry ungenielewa.. Sony Music Africa sio tawi, ni kampuni tanzu..
Haya tukana tusi jingine
Mantiki ya kukanganya wasioelewa. Tatizo sio mkataba, ila ni kuelewa kiingereza ndio hakieleweki. Tafuta nukuu ya SONY MUSIC kuhusu deal yao na Kiba. Utapata mtoa mada hana ukweli wowote kuhusu deal hii. He is relying on media just as we are!Katika post yangu namba Saba(7), nilikutahadharisha mkuu.
Pole lakini