Deal ya Ali Kiba na Sony: Makosa yanayojirudia..

yani mtoa uzi anaonesha kabisa amekaa kitimu....kiba amesign deal world wide na sio africa tu na yeye akiwa msanii wa kwanza kutoka africa akiwa amesign worldwide hata kama maslahi yatakuwa madogo ila imemsaidia kumtangaza kimataifa maanake anaweza pata deal kubwa zaidi ya hilo ........
 
1463903157109.jpg
1463903157109.jpg
 
Kumbe kapata Millioni 100 tuuu!!!! Duuuuuu
Ukoo wenu wote hakuna hata mmoja aliyewahi kupata pesa hizo na mpaka unakufa utakuwa unayadoma tu maandishi hutokaa upate millioni 100 kenge wewe.

Ni kweli mkuu ukoo wetu hauna uwezo huo ila sijawahi kosa nacho kitakaa toka kwenye ukoo wetu
 
Mie nashindwa kuelewa hapa. Nimejaribu kugoogle 'ALIKIBA SIGNS A DEAL WITH SONY MUSIC' na kila mahali wanasema ni 'GLOBAL, MEGA, INTERNATIONAL.....halafu mtu anakuja na thread yake akisema the opposite. Sasa sielewi wao ndio hawajui au mtoa mada anataka kutread tu!
 
Kwa Tanzania ni kosa kubwa sana kukosoa kitu ila wanapenda kusifiwa tu ila mtu mzuri ni yule anayekukosoa kwan anakujenga ila sifa zisizo na mantiki ni kuipumbaza akili nadhan mtoa mada katoa majina ya wanamuziki waliokuwa chini ya lebo ya Sony na wakaanguka sasa ww toa listi ya waliopata mafanikio na Sony ili tuwajue
 
Wewe bwegge unayeishi chini ya dollar moja unapata wapi gutts za kuibeza cash millioni 100! Mchawi mkubwa wewe.
Povu linakutoka sanaaaaa! Nisije nikapigwa bani humuu! Lakini mimi sijakwambia kuwa nina millioni 100 au sina,wala sijasema kuwa ukoo wetu una millioni 100 au hauna!

Sasa kama wewe unaona millioni 100 ni hela nyingi basi huo ni mtazamo wako! Pia sijasema millioni 100 ni chache as long as wingi unaanzia 2! So usitake kujua maisha yangu,wala mimi sijasema maisha yako!

Ukweli utabaki pale pale kwa msanii kama Ali kiba kuingia Mkataba wa Millioni 100 ni hela ndogo sanaaa kulingana na yeye na jinsi mnavo upaisha huo mkataba
 
yani mtoa uzi anaonesha kabisa amekaa kitimu....kiba amesign deal world wide na sio africa tu na yeye akiwa msanii wa kwanza kutoka africa akiwa amesign worldwide hata kama maslahi yatakuwa madogo ila imemsaidia kumtangaza kimataifa maanake anaweza pata deal kubwa zaidi ya hilo ........
Msanii wa kwanza Africa kusaini worldwide??????
Naomba nisikujibu maana hujui hata unachokiongea????
 
hata ukinijibu haitosaidia kuendesha maisha yng wala yako
Kuna watu mko very insecure mtaani mpaka huku kwenye mitandao!!

Sasa hapa mambo ya kuendesha maisha yako/yangu yanajusikaje????
Tuko JamiiForums kwa ajili ya mijadala, kama hutaki mijadala unafanya nini humu??
 
Mbona huji Na evidence Ya kuonyesha ame sign Sony africa?!!!! Wakati kwenye mitandao yote inaonyesha ame sign global deal!!!! Embu tumalize huu ubisha leta evidence vinginevyo hatuna sbb Ya kukuamini... Tunaamini tunachoona sio tunachosikia
 
Unaonekana hata hilo suala lenyewe hulifahamu/hujafuatilia au hata kuangalia kwenye TV ile event ya kusaini... Kwa kifupi ni kwamba amesaini na Sony Music Africa na hata wenyewe wametangaza hivyo sasa hiyo ishu kama the deal ni global ama vipi ndio ishu inayoboshaniwa..

My argument ni kwamba Sony Music Africa haidili na mikataba ambayo iko global.. Sony Music Africa ni tawi dogo la Sony ambalo kinahusika na ishu za Africa pekee... Mikataba global huwa inasainiwa Sony Music Ent. BMG ambayo ndio msanii kama Davido amesaini!! Angalau mkataba wa Davido uko global tofauti na mkataba wa Ali ni wa Africa pekee ila kwakuwa wanatuona sisi ndezi ndio maana wanatuambia mauongo kibao
 
Kuna watu mko very insecure mtaani mpaka huku kwenye mitandao!!

Sasa hapa mambo ya kuendesha maisha yako/yangu yanajusikaje????
Tuko JamiiForums kwa ajili ya mijadala, kama hutaki mijadala unafanya nini humu??
sio ya kiwack kama hii
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom