Deal ya Ali Kiba na Sony: Makosa yanayojirudia..

@the_bold, naomba unipe tofauti kati ya deal za wafuatao.
1. Keko, Redsan, D'banji, Rose muhando na kadhalika.
2. Ali Kiba, na Davido .

*Maana ninavyojua kundi la kwanza lilisign na Sony music entertainment AFRICA. Ilhali la pili limesign na Sony Music Entertainment global.

Note.
'Ali kiba becomes the second African artist to sign a globa music deal with Sony Music...'
www.thesource.com/2016/05/19/alikiba....
 
Kiluuj

Hebu naomba tuongee kuhusu kama deal ni global au ni africa pekee! Hiyo ishu amesini na subsidiary ipi hilo suala liko wazi, amesaini chini ya Sony Music Africa.. Hebu pitia vizuri hiyo link uliyoiweka inaeleza hilo suala
d43a0939a15b9b236cb4e5bbbbe5a156.jpg
 
Kuna watu mko very insecure mtaani mpaka huku kwenye mitandao!!

Sasa hapa mambo ya kuendesha maisha yako/yangu yanajusikaje????
Tuko JamiiForums kwa ajili ya mijadala, kama hutaki mijadala unafanya nini humu??
Una hamu ya kukojo....zwa
 
Mtakufa na vijiba vya roho,
Dume zima unakaa chini kumsimanga kijana wa watu anayesaka tonge kwa jasho lake,

Hovyooooo,
Jiangalie kwanza yako wewe yamekuishia?
Sio wajitutumua kama chura wa mtoni kutaka kumvunja moyo mwenzio,

Kama imekuuma sana saga chupa....

#GoKibaGo#
 
Aloooooo
 
Kiluuj

Hebu naomba tuongee kuhusu kama deal ni global au ni africa pekee! Hiyo ishu amesini na subsidiary ipi hilo suala liko wazi, amesaini chini ya Sony Music Africa.. Hebu pitia vizuri hiyo link uliyoiweka inaeleza hilo suala
d43a0939a15b9b236cb4e5bbbbe5a156.jpg
Kumbe wewe akili yako ni maandazi kabisa, sasa kama amesaini na Sony global kuna shida gani single yake kuwa released na Sony Africa wakati ni hili ni tawi lao na msanii ni kutoka Africa? Wewe ni hewa kabisa.
 
Wewe mwenye akili nyingi hujui hata a simple fact hakuna kampuni inayoitwa 'Sony global' bali kuna kampuni inayoitwa Sony music BMG na Ali hajasaini huko Davido pekee ndio amesaini Sony Music BMG (global brand)!! Ali amesaini Sony Music Africa... Na uelewe kuwa huwezi kusaini Sony Music BMG alafu mziki wako usambazwe na Sony Music Africa ungejua ishu za mikataba na entertainmen industry ungenielewa.. Sony Music Africa sio tawi, ni kampuni tanzu..

Haya tukana tusi jingine
 
Acha uongo ndugu ni branch....sony africa ni branch la sony worldwide ambalo linaashughulikia africa pekee....ali amekuwa chini ya rocksrar4000 ambayo ipo chini ya sony africa kitambo
 
Elewa kwanza maana ya kampuni tanzu ndio uje hapa kutoka povu!! Kuna kitu kinaitwa 'branch' na kuna kitu kinaitwa 'subsidiary company'!! Sony Music Africa ni 'subsidiary company' ya Sony Music BMG sio 'branch'..
 
Kwa hiyo ndugu yangu unataka kusema office zote za sony nchi nyingine ni subsidiary only ya america ndio yao???lol....
 
Wewe mwenye akili nyingi hujui hata a simple fact hakuna kampuni inayoitwa 'Sony global' bali kuna kampuni inayoitwa Sony music BMG na Ali hajasaini huko Davido pekee ndio amesaini Sony Music BMG (global brand)!! Ali amesaini Sony Music Africa... Na uelewe kuwa huwezi kusaini Sony Music BMG alafu mziki wako usambazwe na Sony Music Africa ungejua ishu za mikataba na entertainmen industry ungenielewa.. Sony Music Africa sio tawi, ni kampuni tanzu..

Haya tukana tusi jingine
Katika post yangu namba Saba(7), nilikutahadharisha mkuu.

Pole lakini
 
Mantiki ya kukanganya wasioelewa. Tatizo sio mkataba, ila ni kuelewa kiingereza ndio hakieleweki. Tafuta nukuu ya SONY MUSIC kuhusu deal yao na Kiba. Utapata mtoa mada hana ukweli wowote kuhusu deal hii. He is relying on media just as we are!
 
Similar Discussions

44 Reactions
Reply
Back
Top Bottom