eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,227
- 16,178
Walimponda kwenye vidio sasa anawaaumbua bado hawaishiwi maneno mdimoni. Wivu mwingine bana
Global or not, publicity stunt or not, dude u seem 2 av a crash wt King Kiba. Were it ua god Plutinum who had done 30, u wud av kam here wt all sort of word of merits abt th deal. Well poor u.Its not a global deal! Trust me.. its just a "publicity stunt" kuitangaza hivyo but the deal is not global
He was neva on a leave!! zile alizotoa na Abdul sijui kidera n.k hazikuwa nyimbo??! You guys nid to stop with this lie alafu sijui mnamdanyanya nani zaidi naona mnamjaza ujinga tu kingi wetuGlobal or not, publicity stunt or not, dude u seem 2 av a crash wt King Kiba. Were it ua god Plutinum who had done 30, u wud av kam here wt all sort of word of merits abt th deal. Well poor u.
He m8 b a game changer if wat ur saying s true. Rem Kiba was on a sabbatical leave for 2 yrs & he came back wt a bang!
Dua la kuku halimpati mwewe! Mungu akutie nguvu alikiba, wala usirudishwe nyuma na wenye chuki binafsi
Kama facts zimekuwa chuki binafsi siku hizi basi sawaaaaa!!Walimponda kwenye vidio sasa anawaaumbua bado hawaishiwi maneno mdimoni. Wivu mwingine bana
Kuwa shabiki wa Yanga hakukuondolei sifa ya kutoa positive criticism kwa Simba au kufanya analysis ili nao labda wajifunze kitu fulani kiwasaidie msimu ujao..We jamaa niliposoma thread yako nikaona wa maana but kadiri unavoendelea ku comment unajiingiza kwenye upuuzi wa ma team.
Sio tu kwamba amewahi kuwa chini yao, bali bado wana mkataba nae!Rose Muhando si amewahi kuwa chini ya hawa jamaa na ndiyo ukawa mwanzo wa mwisho wake!!
Hili deal halina cha msingi sana zaidi ya jina tu Sony. In time watu na Kiba mwenyewe ataelewa kwamba kaingia mkenge.Sio tu kwamba amewahi kuwa chini yao, bali bado wana mkataba nae!
Nimekuekewa mkuu! Ila kuna watu ilinibidi tu niwajibu maana ni washindani wangu wa jadi humu jukwaani.. There was no way I was going to let them get away with their liesNadhani hukunielewa ila nilimaanisha kuwa ungesimamia mada yako tu na si kutoka nje ya mada na kubishania mambo mengine
Huko kwenye mitandao ya kijamii kumechafuka habari ya Ali kusign deal na Sony wengi wakiamini huo ndio utakuwa mwanya wa msanii huyo kutoboa kimataifa.. Jambo ambalo mashabiki wake wanashindwa kuelewa ni kuwa huo unaweza kuwa anguko la King Kiba badala ya kuwa neema..
Kwanza kabisa kitu ambacho hawakielewi ni kuwa Ali hajasaini na Sony Music Ent. BMG (ishu yake sio 'global deal') bali amesaini na Sony Music Africa ambayo ni subsidiary ya Sony Music Entertainment!! Kwa ninavyoelewa Sony Music Africa wana sambaza mziki na kumanage wanamuziki ndani ya Africa pekee.. Sasa eidha Ali hajui alichosaini au chumvi inaongezwa kunogesha habari..
Kingine watu wanaona hii ni kama Bahati Ali amepata wanachoshindwa kuelewa ni kwamba wasanii wakubwa Africa huwa wanakataa kusign na hizi kampuni zenye asili ya marekani na ulaya kutokana na kampuni hizi kushindwa kutimiza malengo na kutoelewa mazingira ya soko la mziki Africa! Kwa mfano wasanii wote ambao wamewahi kusign na Sony karibia wote walikuja kufa kimuziki kutokana na Sony kushindwa kuwa market kutokana na kutoelewa mziki wa Africa; mfano wasanii kama Nakaaya Sumari, Nneke Egbuna (Nigeria), Luncvile (SA), Nathan Ro (SA) wote hawa wamepotea kwenye mziki..
Mfano mwingine ni msanii D'banj ambaye aliondoka Mavins na kujiunga na label ya GodLife chini ya kanye west, mpaka sasa D'banj anasafiria jina lake tu lakini kimuziki ameshuka vibaya sana!! Kampuni za kimarekani hazina record ya kuwatoa wasanii wa kiafrika na hii inatokana na kutoelewa industry yetu na ndio maana Psquare walikataa mabilioni waliyotaka kupewa ili wasign Convict records..
Kingine kinachosemwa na watu ni kwamba hizi kampuni zina mambo mengine makubwa zaidi kwahiyo inakuwa nguvu kwao kuwa serious sana na mwanamuziki mmoja mmoja; kwa mfano kampuni mama ya Sony Music Africa (Sony Entertainment BMG) ina zaidi ya label 25 ndogo ndogo kama hii aliyosign kiba na ina wasanii karibia katika kila nnchi ya ulaya, Asia na Amerika ya kusini. Wana zaidi ya wasanii elfu moja wanaowasimamia so inakuwa ngumu kwao kutoa macho kwa msanii mmoja mmoja na ndio maana wasanii wengi wakubwa wa Africa wanakataa kusign chini yao wanaona ni afadhali watengeneze timu zao wenyewe za management ambazo macho yao na attention yote itakuwa kwao wao kama wasanii..
Anyways, let me just assume management ya Ali inafahamu vitu ambavyo mimi sivifahamu na wamefanya research ya kutosha kabla ya kusign na hatimaye watatuprove wrong wote ambao tuko sceptical about this deal.!!
Kama kijana mwenzangu namtakia kilala kheri na mafanikio katika safari yake mpya...
WaTz buana,Dimond ameingia mkataba na nani? Mkuu
Hivi dimond nae kasign na nani?
Diamond anamiliki label yake WCB ambaye yeye ndo anasainisha wasanii wengine.Kwani daimond anajiendesha mwenyewe mkuu
Mjinga wewe, wewe una nini cha maana ulichofanya mpaka sasa bwegge kabisa.Kuna ubaya gani nikimpongeza au Nina ugomvi nae gani??? Na kuna ubaya gani nikitoa angalizo ambalo labda linaweza kumsaidia msanii mwingine??? Ubaya unao uona wewe uko wapi???
Ila apapatikie kampuni za kichina na corrabo za kichina? Hopeless kabisa.you got the point and serious,sio kwamba unafahamu mziki tu bali the whole music industry africa mpaka nje.
kampuni za kimarekani au corrabo za kimarekani sio za kupapatikia!