Deal ya Ali Kiba na Sony: Makosa yanayojirudia..

Si utani Davido anajuta kuwafahamu Sony!
Hilo ndio fundisho kwa wasanii wengine, wajiulize kwa nini wenzao wanaoshine zaidi yao hawataki kusaini na haya makampuni ya ulaya.. Haya makampuni ni opportunists na dizaini flani wanyonyaji! Kwa Africa hawawezi muziki wetu afadhali tu mtu ukomae na kina Mobenga na kina Babu Tale..

Kweli mkuu member humu walilipeleka ki team zaid sasa wataona huo mfano kwa davido
 
Si utani Davido anajuta kuwafahamu Sony!
Hilo ndio fundisho kwa wasanii wengine, wajiulize kwa nini wenzao wanaoshine zaidi yao hawataki kusaini na haya makampuni ya ulaya.. Haya makampuni ni opportunists na dizaini flani wanyonyaji! Kwa Africa hawawezi muziki wetu afadhali tu mtu ukomae na kina Mobenga na kina Babu Tale..
Eeh wiz kid nae alitaka ku sign sony last week naona yeye na meneja wake sunday km wamesita kwanza sijui washastuka au mazugumzo yanaendelea
 
Uuuuuuuwiii eeeehh Mungu eka mkono hilo tukio lisitokee kabisaaaa. Wizkid bado tunakupenda
Mwenyezi Mungu aepushilie mbali.!! Bado tunakihitaji hiki kichwa.. Nitaumia sana kikipotea..
 
UNABII WA JF watimia kama ilivyo kawaida.....mwaka na nusu kimyaaaaaaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom