Young Lunya kusainiwa Sony

man pog

Member
Apr 8, 2020
13
16
Hivi mnaonaje kuhusu huyu mwamba Young Lunya kusainiwa Sony music Africa kunaweza kuwa na faida kwake au ndo amepoteza maana kwa kumbukumbu za haraka haraka ni kwamba wasanii wengi wa Tanzania walio sainiwa na label hiyo wengi wamepotea mfano

Baraka da prince,
Vanessa Mdee,
Ommy Dimopzi,

Kidogo kwa huyu Diamond yeye alishtuka mapema akaepa na nafikiri ata Ali Kiba pia aliliona Hilo.
 
Vanessa Mdee hajapotea bado yuko sanaa, ila kaamua kupumzika na kuishi maisha mengine nje ya Muziki, ila bado umaarufu anao, kazi ingine ya sanaa, na maisha ya ndoa na malezi kwa mtoto.

Ommy Dimpoz yupo sana kwa game, ila now time anatoa hits kwa kwa mpangilio, umaarufu anao, maisha anayoishi hata hao wasanii wengine wanayaona kwa TV km sio kuyasikiliza Redioni,

Labda huyu Baraka DA Prince ndo unaweza sema kapotea.
Nwei naye MBUZI achange katata yake vizuri.
 
Umeanza lini tabia ya kuandika vizuri hivi?🙆‍♀️
 
H
Vanessa Mdee hajapotea bado yuko sanaa, ila kaamua kupumzika na kuishi maisha mengine nje ya Muziki, ila bado umaarufu anao, kazi ingine ya sanaa, na maisha ya ndoa na malezi kwa mtoto.

Ommy Dimpoz yupo sana kwa game, ila now time anatoa hits kwa kwa mpangilio, umaarufu anao, maisha anayoishi hata hao wasanii wengine wanayaona kwa TV km sio kuyasikiliza Redioni,

Labda huyu Baraka DA Prince ndo unaweza sema kapotea.
Nwei naye MBUZI achange katata yake vizuri.
Kwani huyo ommy kinachomuweka mjini si jicho la tatu😂😂
 
Hivi mnaonaje kuhusu huyu mwamba Young Lunya kusainiwa Sony music Africa kunaweza kuwa na faida kwake au ndo amepoteza maana kwa kumbukumbu za haraka haraka ni kwamba wasanii wengi wa Tanzania walio sainiwa na label hiyo wengi wamepotea mfano

Baraka da prince,
Vanessa Mdee,
Ommy Dimopzi,

Kidogo kwa huyu Diamond yeye alishtuka mapema akaepa na nafikiri ata Ali Kiba pia aliliona Hilo.
Suala la msanii kuwa signed under a record label huwa na faida pamoja na hasara zake. Unaposainiwq na label huwa unaondoa stress za promotions na marketing ya muziki wako na ndio maana wanakupatia fedha nyingi baada ya kusaini ili wazirejeshe pindi watakavyokuja kuuza muziki wako.

Na kutokana na suala la Digital Streaming Platforms kuchangia kwa kiasi kikubwa mapato ya muziki kumekuwa na ongezeko la biashara ya kusaini wasanii hususani wa afrika katika record label kubwa mfano Fireboy DML, Black Sheriff, Kizz Daniel kusainiwa EMPIRE na hapa East Africa msanii Diamond Platnumz, Ali kiba kusainiwa Warner Music na hao akina Young Lunya, Abby Chams pamoja na Aslay kuwa chini ya Sony kupitia Rockstar 4000.
 
Vanessa Mdee hajapotea bado yuko sanaa, ila kaamua kupumzika na kuishi maisha mengine nje ya Muziki, ila bado umaarufu anao, kazi ingine ya sanaa, na maisha ya ndoa na malezi kwa mtoto.

Ommy Dimpoz yupo sana kwa game, ila now time anatoa hits kwa kwa mpangilio, umaarufu anao, maisha anayoishi hata hao wasanii wengine wanayaona kwa TV km sio kuyasikiliza Redioni,

Labda huyu Baraka DA Prince ndo unaweza sema kapotea.
Nwei naye MBUZI achange katata yake vizuri.
Omari vishimo anapats hela somewhere.

Muziki wa nini!?

Labda kwa huyo Vannes aliamua kuwa Mama.

Baraka De prince saivi ni baraka de panya road
 
Vanessa Mdee hajapotea bado yuko sanaa, ila kaamua kupumzika na kuishi maisha mengine nje ya Muziki, ila bado umaarufu anao, kazi ingine ya sanaa, na maisha ya ndoa na malezi kwa mtoto.

Ommy Dimpoz yupo sana kwa game, ila now time anatoa hits kwa kwa mpangilio, umaarufu anao, maisha anayoishi hata hao wasanii wengine wanayaona kwa TV km sio kuyasikiliza Redioni,

Labda huyu Baraka DA Prince ndo unaweza sema kapotea.
Nwei naye MBUZI achange katata yake vizuri.
Utajiri wa Ommy Dimpoz una utata mwingi so usiseme kwamba muziki ndio unamfanya aishi maisha hayo
 
Back
Top Bottom