Elections 2010 CUF wazindua kampeni 2010

Kuna mtu kaanguka jukwaani au Lipumba hakufunga.
hakuna aliyeanguka jukwaani naamini Lipumba alikuwa yupo kwenye swaumu pale...Walizungumza wakiwa kwenye afya zao njema...sikusikkia aiseeeeeeeeeeeeeee
 
msimamo wako mbona unajulikana siku nyingi sana --- kumsaidia Kikwete kuifilisi Tanzania.
Hiyo yote ni dhanna, huna uhakika na msimamo wangu, laiti ungekuwa unasoma article zangu nahisi kidogo ungeelewa nini msimamo wangu... Bahati mbaya sipo hapa kuwapendezesha watu...pole sana.
 
Aliuzungumzia Duni haji kwa juu juu tu na Saidi Miraji wakati akimwaga sifa za Prof nje na ndani ya nchi

Duni Haji naye bana .... Baada ya election ningependekeza apewe ubunge wa kuteuliwa. Ile ni mashine inayotakiwa kuwa bungeni (kwa maoni yangu).
 
Mbona na wewe uliuliza kwa nini chadema wanazindua kesho, ulikuwa unatafuta nini huko?

Mie sikuuliza bali niliunganisha kama alivyouliza swali Rev kuonyesha kwamba na waislamu wakiuliza swali hilo je kesho kwa Chadema tutafika? Sidhani kuuliza maswali kama haya yanatusaidia kitu sisi watanzania huku vijijini zaidi ya kuzidisha tu machungu ya njaa zetu
 
Hiyo yote ni dhanna, huna uhakika na msimamo wangu, laiti ungekuwa unasoma article zangu nahisi kidogo ungeelewa nini msimamo wangu... Bahati mbaya sipo hapa kuwapendezesha watu...pole sana.

Come on X-Paster,

Sasa tukirudi kwenye swali letu (if we may), sabato ni jumamosi au jumapili?
 
ha ha ha Senator umemmaliza kabisa
.

Hajanimaliza ila ni muungwana kwa wageni ndio utamaduni wetu watanzania na Afrika kwa ujumla. Hata wewe siku ya kwanza si ulikuwa mgeni walikuumbua?!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! haaa
 
Mie sikuuliza bali niliunganisha kama alivyouliza swali Rev kuonyesha kwamba na waislamu wakiuliza swali hilo je kesho kwa Chadema tutafika? Sidhani kuuliza maswali kama haya yanatusaidia kitu sisi watanzania huku vijijini zaidi ya kuzidisha tu machungu ya njaa zetu

if that is the case ... then ... why did you do it?
 
.

Hajanimaliza ila ni muungwana kwa wageni ndio utamaduni wetu watanzania na Afrika kwa ujumla. Hata wewe siku ya kwanza si ulikuwa mgeni walikuumbua?!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! haaa

madrassa al sul
 
hakuna aliyeanguka jukwaani naamini Lipumba alikuwa yupo kwenye swaumu pale...Walizungumza wakiwa kwenye afya zao njema...sikusikkia aiseeeeeeeeeeeeeee

Hivi kuuliza si ujinga ukitaka kuzimia siku hizi neno la kusema ni aiseeeee!!!!! au niseme nataka kuzimia jamani!!! nitaeleweka na jamii kwamba hali yangu mbaya
 
Nasubiri gazeti la Al Jihad litakavyo pamba na mapicha ukurasa wa kwanza! CUF watingisha jiji kwenye kampeni baada ya kutoka kwenye swalaa Ijumat.
 
Fikra mgando badala ya kufikiria kujenga hoja wewe unawazia kubomoa mtandao mtakaliaga hayo hayo milele.
chadema mwingine huyo!!! si nilikuambia. Hiyo ni siku moja kabla ya uzinduzi wa kampeni ya chadema. subiri kesho atapost huyo.
 
Because Rev Masanilo ask it as well this case you should ask him or her that question

Come on now,

You know Rev is a dude so drop the She/her thing for a second please.

Mdondoaji .... I am having one of the best days of my life .... I will let this one go for now.
 
Hivi kuuliza si ujinga ukitaka kuzimia siku hizi neno la kusema ni aiseeeee!!!!! au niseme nataka kuzimia jamani!!! nitaeleweka na jamii kwamba hali yangu mbaya
:becky::becky:Kwenye majukwaa ya kisiasa ukitumie neno aiseee utaeleweka zaidi kwamba hali yako ni mbaya so wapambe watasogea karibu yako!
 
Nasubiri gazeti la Al Jihad litakavyo pamba na mapicha ukurasa wa kwanza! CUF watingisha jiji kwenye kampeni baada ya kutoka kwenye swalaa Ijumat.

Kweli kabisa Rev, na kisha kwenye page 5 wataanza kulia lia kuwa hawaruhusiwi kupumzika siku za ijumaa na serikali onevu ya kikatoliki (inayoongozwa na wakatoliki kina Kikwete, Karume, Shein, Bilali nk)
 
Back
Top Bottom